Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

Achana na mambo ya BOT kwa sasa.

Unachopaswa kufanya ni kumalizana nao. Kuna time frame ya kumalizana na endapo mtashindwana basi swala lako ndilo unali-file BOT.

Ukiwapigia BOT watakuambia hivyo hivyo. Fuata taratibu. Usiruke hatua.

Aanze benki husika, awape muda. Wakikataa ndiyo unawaambia kabisa nina lengo la kufile malalamiko yangu BOT.
Kwa maelezo leo asubuhi aliwafuata kuwaelezea kufuta huo mkopo wakamueleza aendelee kusubilia maana hawana namna ya kumsaidia kufuta.
 
Kwa USHAURI wangu NINAONA aende kwenye Ofisi za mawakili walio karibu yake watamsaidia. Suala hilo ni jepesi sana. Terms zimevunjwa na mkopeshaji mwenyewe Kwahiyo the payments are time barred. Kuna sheria inayoregulate hayo maswala.
Amuone wakili amsaidie chap.
 
Kwa maelezo leo asubuhi aliwafuata kuwaelezea kufuta huo mkopo wakamueleza aendelee kusubilia maana hawana namna ya kumsaidia kufuta.
Ili BOT kukusaidia, maandishi ya mdomo hayasaidii.

Aandike barua, apeleke. Kisha asubiri majibu..

Ukienda Benki, (sina hakika sana siku hizi) kuna karatasi kubwa lenye taratibu za kufile changamoto yako.

Linaeleza vizuri sana na muda ambao changamoto yako inapaswa kutatuliwa.

Cha kufanya kesho arudi tena na barua kutoka kwa afisa utumishi. Awapelekee hicho kitengo. Pia apange foleni ya kuonana na Manager Customer Experience. Kama hayupo basi Bank Meneja wa tawi husika.

Atoe na kuwakabidhi barua. Atulie kwa muda huo.

Kisha baada ta hapo aendelee na utaratibu uliopo kwenye maelekezo.
 
Kwa USHAURI wangu NINAONA aende kwenye Ofisi za mawakili walio karibu yake watamsaidia. Suala hilo ni jepesi sana. Terms zimevunjwa na mkopeshaji mwenyewe Kwahiyo the payments are time barred. Kuna sheria inayoregulate hayo maswala.
Amuone wakili amsaidie chap.
Vipi gharama za uwakili?
 
sawa nitamfikishia hili
 
Wahenga nao...!

Sometimes Wanatuchuuzaga..... !

Umeshawahi kusikia huu msemo Wao 'Eti Marehemu Tajiri'...! Huwa wanamalizia..kuchwe kusikuchwe Atazikwa tu..!

Sasa Wewe ndg Yangu...Mtu tajiri kwenda Kumsainia Mkopo Kbs...Hizo guts Umezitoa Wapi...?
 
Sijakuelewa kidogo, una maanisha nini?
 
Maombi ya mkopo si jinai kuwa lazima uadhibiwe hata ukighairi. Aende pale na barua rasmi na bank statement kuwa haitaji tena sababu ya muda mkopo umechelewa mpaka anaandika barua haujaingia na ushahidi ni BS yake. Barua ieleze wazi tarehe aliyoomba mkopo na muda uliopita na haitaji tena sababu dirisha la alichotaka kufanya na hiyo pesa limefungwa na kuichukua hiyo pesa ni kutengeneza non-performing loan.

Wakilazimisha asichukue pesa wala asipeleke marejesho na atoe taarifa BOT kwa maandishi kuwa analazimishwa kukopeshwa watachukua pesa yao.
Hapa ndo umeandika jambo la msingi.
 
Ongea na HR mpe rushwa awaandikie bank umepata shida kazini huwezi kurejesha makato ya mwezi.
Bank wakiona hasara hii watakunyima wenyewe mkopo
 
Kwa USHAURI wangu NINAONA aende kwenye Ofisi za mawakili walio karibu yake watamsaidia. Suala hilo ni jepesi sana. Terms zimevunjwa na mkopeshaji mwenyewe Kwahiyo the payments are time barred. Kuna sheria inayoregulate hayo maswala.
Amuone wakili amsaidie chap.
Tena wanatakiwa wamlipe fidia kwa kuchelewesha huo mkopo.anaweza lipwa ata 100M .akiwa na mwanasheria mzuri
 
Nimepokea, taarifa usiku huu za rafiki yangu aliyepatwa na msiba mwishoni mwa mwaka jana na kuzika January mwaka huu.

Ni mtumishi wa serikalini kapatwa na msiba ghafla akaenda kukopa Bank ya ABC ili kumsaidia na masuala ya msiba, Tsh milioni 2 hiyo tarehe 29/12/2023.

Kaambiwa baada ya masaa 24 pesa itaingia ila hadi leo tarehe 8/01/2024 pesa hakuna na kwa taarifa ni kuwa, taarifa zake kwa mkuu wake wa kazi zimeishapita kasaini apewe mkopo ila kaambulia patupu hadi leo.

Msiba uliishaisha kwa msaada wa raia wema wakamkopesha akayamaliza huko kwao, sasa ndiyo naongea naye hapa anaomba ushauri jinsi ya kujitoa kwenye mkopo huu hewa.

Msaada kwa huyu ndugu kama ni wa kisheria ajitoe tu kwenye hili janga.
...Kama hajaanza kukatwa aachane nao. Haina Kazi Tena....!

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom