Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

Nimepokea, taarifa usiku huu za rafiki yangu aliyepatwa na msiba mwishoni mwa mwaka jana na kuzika January mwaka huu.

Ni mtumishi wa serikalini kapatwa na msiba ghafla akaenda kukopa Bank ya ABC ili kumsaidia na masuala ya msiba, Tsh milioni 2 hiyo tarehe 29/12/2023.

Kaambiwa baada ya masaa 24 pesa itaingia ila hadi leo tarehe 8/01/2024 pesa hakuna na kwa taarifa ni kuwa, taarifa zake kwa mkuu wake wa kazi zimeishapita kasaini apewe mkopo ila kaambulia patupu hadi leo.

Msiba uliishaisha kwa msaada wa raia wema wakamkopesha akayamaliza huko kwao, sasa ndiyo naongea naye hapa anaomba ushauri jinsi ya kujitoa kwenye mkopo huu hewa.

Msaada kwa huyu ndugu kama ni wa kisheria ajitoe tu kwenye hili janga.
Si useme mwenyewe tu kuwa umeyakanyaga , rafiki ,wa wapi
 
Pia inatakiwa misiba mingine ikitokea muwe mnatoa hela hata 5,000 au 10,000 kuwachangia watu wako wa karibu ukipata msiba hata uhitaji kiasi gani cha kusafirisha watu unaowachangia mara kwa mara watakuja na kukupa sapoti ukiona mtu kapata msiba harafu anahaha mbaya jua sio mtu wa watu...
Ok yeye anaishi mbali kidogo na huyu nduguye, sasa alihitaji pesa kurahisisha usafiri kwenda huko msibani na kujipanga kwa lolote la ziada.
 
Nimepokea, taarifa usiku huu za rafiki yangu aliyepatwa na msiba mwishoni mwa mwaka jana na kuzika January mwaka huu.

Ni mtumishi wa serikalini kapatwa na msiba ghafla akaenda kukopa Bank ya ABC ili kumsaidia na masuala ya msiba, Tsh milioni 2 hiyo tarehe 29/12/2023.

Kaambiwa baada ya masaa 24 pesa itaingia ila hadi leo tarehe 8/01/2024 pesa hakuna na kwa taarifa ni kuwa, taarifa zake kwa mkuu wake wa kazi zimeishapita kasaini apewe mkopo ila kaambulia patupu hadi leo.

Msiba uliishaisha kwa msaada wa raia wema wakamkopesha akayamaliza huko kwao, sasa ndiyo naongea naye hapa anaomba ushauri jinsi ya kujitoa kwenye mkopo huu hewa.

Msaada kwa huyu ndugu kama ni wa kisheria ajitoe tu kwenye hili janga.
Msiba gani unagharimu 2,000,000 au wa Ki kikristo
 
Back
Top Bottom