Mrisho Mpoto, pumba tupu

Tutampanguwa katika kura za maoni, hana akili ya kuwa mbunge wa CCM, ahamie chadema, walikojazana tuliwaenguwa kwenye kura za maoni, mfano mzuri ni Dokta wa kanoni na gongo, Slaa.

Wewe bibi unapenda sana kutukanwa.. hivi kwanini wamama wagumba mnaroho mbaya sana
 

Naona unajitahidi huu mjadala kuwa ni wa CCM? hapa anaongelewa Mpoto, si chama chake. Kumbuka hilo.
 
si kila anayekupijia makof wanafurah wengne wanataka umalize maongez
 

Ok ntakufunza kidogo.....Utamaduni ni vile watu wanavyoishi......viashiria vya utamaduni ni kama vyakula,mavazi,lugha,sanaa,imani n.k.......sifa kubwa ya utamaduni ni kubadilika 'dynamism'.....mfano lugha ya kiswahili ulivyotumika wakati wa miaka ya arobaini ni tofauti na kiswahili cha mwaka 2000....au alivyovaa kijana msichana mtanzania wa mwaka 1850 ni tofauti na wa sasa 2014..Utamaduni 'culture' unatabia ya kubadilika,mila 'traditions' zinatabia ya kubaki zilivyo....watu wengi uchanganya hivi vitu....na kichwa kitupu kilichokosa na shule kama mpoto ndio kinaropokaropoka tu wakati hakijui chochote
 
Nimejaribu kuonyesha chanzo cha tatizo Dada FaizaFoxy ..Lazima ukweli usemwe ..

Mpoto ameharibiwa na Siasa..

Binaadam haharibiwi na chama chake, unataka kuniambia kuwa Slaa kwa kupora mke wa mtu na kutelekeza watoto mpaka kashtakiwa ni chadema imemharibu? au Mbowe kwenda na kimada Dubai ni chadema imewaharibu?

Kama ameharibika basi ni yeye na si chama chake.
 
Hii thread juzi ilikua inaongelea habari za Mrisho Mpoto kunani leo mbona mara C.C.M mara CHADEMA?
 
Jamani punguzeni lawama mpoto nae ni binadamu hvy huenda labda alipitiwa so just forgive him
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…