Kwa comments nilizoziona juu juu sidhani kama wamemtukana marehemu.Msanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
Walio karibu nae wamuoneshe hii comment mkuukwa busara angejifanya hajaona
Anapindua meza kisiasaAcha upumbavu wa kupotosha kile kinaendelea, mkeo hajaguswa kuhusu sisiem, its you na utahira na njaa zako kufumba macho na kusifia non sense kitu ambacho watz wengi wanakikataa
Yaani usanii sanii tu kila mahali hapo ameamua kuongea kimama kimuonee huruma eti anatukanwa sababu ya chama umbwa takataka kifo ni kifo tu wote tutakufa na kusemwa tunasemwa tu kila mmoja kwa nafasi yakeMsanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
Anatafuta huruma tu za kijinga, yaani hapo kaamua kuongea ili chama chake cha wauaji wamuonee huruma labda waongeze rambirambiJamaa kawa bwege saana. Ameonesha picha halisi ya Watanzania kuwa wanafki baada ya kupewa mkate.
Alianzaga vizuri sana ktk kutetea uongozi bora, hasa zile nyimbo zake za Mjomba mjomba.Anatafuta huruma tu za kijinga, yaani hapo kaamua kuongea ili chama chake cha wauaji wamuonee huruma labda waongeze rambirambi
Anapindua au anaomba msaada wa dola?Anapindua meza kisiasa
Ndo kupindua kwenyewe huko mkuu --- hili tukio unaweza kuja listukia wanalitumia hata kwenye kampeni kwa kichaka cha tunapoteza umojaAnapindua au anaomba msaada wa dola?
NJAA & UMASKINI NI MBAYA SANA!!Jamaa kawa bwege saana. Ameonesha picha halisi ya Watanzania kuwa wanafki baada ya kupewa mkate.
Anasifia tu saivi hata amekuwa km amehasiwa nguvu zitatoka wapi juu ya bahasha anazopokea? Akili itatoka wapi ya kuyaona madhaifu?Alianzaga vizuri sana ktk kutetea uongozi bora, hasa zile nyimbo zake za Mjomba mjomba.
Na toka apewe kadi ya Chama amepotea kabisa.