Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,128
Wamefanya nini hao
Wanawania jimbo la Lema mkuu. Naona kaamua ale vichwa vyote.Arusha kuna nini? RC, DC na DED wote kwa mkupuo? Kutakuwa kuna tatizo

balaaa kweli kweli unaweza kufa na pressureRejea Nape alisifiwa kule kwao Tandahimba na wiki hiyo hiyo akaliwa kichwa..Mbona nijuzi tu kamsifia Mtoto pendwa wa Jesu'. Haikusaidia?
😁😁😁😁Si ndio alisema vijana wa CCM wakizeeka wanakuwa wachawi
CCM kuna demokrasia pana!