Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 903
Wa kawa tu
toa maksi zako kwa mrembo wa wiki
hamna kitu hapo.
Nadhani wengi hamkumtendea haki.mtoto yuko kienyeji kidogo(natural)kama kuna cream ni kidogo sana,ana macho mazuri ,ana mguu wa chupa ya serengeti,mrefu wastni,kijungu cha kupakata.sasa nyie wekeni dada au vidosho wenu tuwapambanishendo mtoe hizo marks zenu
Sina la kuongeza ni mrembo na mwenye kubisha alete za mpenzi wake au dadake kama mlivosema wadau tuwalinganishe,hamjamtendea haki msichana wa watu.Msilete mambo ya ze utamu we hiyo picha kakuruhusu uilete humu jf jamani au tu mnataka mwenzenu aishie kwenye msongo wa mawazo. Toa picha ya dada yako tu mmpe maksi basi.
Toa maksi zako kwa mrembo wa wiki
Acha hizo mkuu kitu new sikuhizi labda awe 14-16 na ukikaribia ni miaka 30 segerea.mmhh jamani hii kitu siyo reconditioned aka used Japan? au haya macho yangu ya uzee?