Mje tuwafungishe ndoa.Ubwabwa mtatupikia siku nyingine maharusi wetu.Nakukubali sana mrembo SERAN
Ngoja aje akupe mwongozo!Huyu seran anapendwa na wengi sana hapa jf hivi nini Siri yake
Kwa nini unataka kujua siri yake bwashee?Huyu seran anapendwa na wengi sana hapa jf hivi nini Siri yake
Tupiamo gololi watakata ngebe bwasheeDah wajuba kwa kujiamlia mambo hawajaacha! siku nitawaacha midomo wazi kwa kuanika makendre yangu hapa! 😎
Watu weweee, watu wooooh😁Dah wajuba kwa kujiamlia mambo hawajaacha! siku nitawaacha midomo wazi kwa kuanika makendre yangu hapa! 😎