Mrembo wa wik!!!

JERRY

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
630
502
Toa maksi zako kwa mrembo wa wiki
 

Attachments

  • MREMBO.JPG
    MREMBO.JPG
    125.5 KB · Views: 1,747
jamani mbona viwango vinazidi kuporomoka? Kama ukisema binti huyu ndo mrembo wa wiki basi utakuwa na mapungufu mengi. Nampa 1/10
 
paja la kulia ana madoadoa, nyonga yake pana sana na pia ana kakitambi kwa mbali....hafai
 
Nadhani wengi hamkumtendea haki.mtoto yuko kienyeji kidogo(natural)kama kuna cream ni kidogo sana,ana macho mazuri ,ana mguu wa chupa ya serengeti,mrefu wastni,kijungu cha kupakata.sasa nyie wekeni dada au vidosho wenu tuwapambanishendo mtoe hizo marks zenu
 
Macho ya kichina, Kama katoka kunaninihii half hakutosheka.... Nampa 5. Siyo mrembo ila Ana mahaba ya kipwani yakhe, if you know what I mean!
 
kishuz labda na lips ndo vinavutia,ila anaonekana ametumika sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom