loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,841
- 6,519
Mrembo na nembo ya taifa Valentina Gabriel almaarufu Vale Nafaka mwenye uzuri wa aina yake wa sura na umbo aonekana kwenye Video akila ugali na mboga za majani ya kienyeji na watu wa kawaida tu huko mashambani.
Despite her striking good looks and undisputed beauty which make heads turn binti huyo mrembo, mkarimu na mcha Mungu alijishusha na kuwa mtu wa kawaida tu kwa kujichanganya na machalii huko chaka kupata msosi wa dona na mboga za kienyeji.
Hali hiyo ya ajabu (extraordinary) na ya kupendeza (Heartwarming) ilileta furaha na faraja tele kwa watu wengi sana na kumsifu binti huyo mrembo kujichanganya na watu bila ubaguzi wowote.
Vale Nafaka is a God given gift to our nation.
Die hard secret admirer!
MamaSamia2025
adriz de mbusii