Mrembo maarufu akamatwa na unga (developing...)

Kuna taarifa kuwa binti mmoja maarufu katika fani ya urembo/umiss na pia ametokea kwenye videos za bongoflava amedakwa na unga huko Far East. Hii ni developing story...I will name her when it's confirmed 100%

Jack Patrick, yule aloolewaga na fundikira? nauliza tu
 
tetesi zinasema kua ni jacky cliff yule mrembo wa video ile ya linex inaitwa kamugina kitu kama hicho
 
mkuu ipo thread nyingine wamemtaja huyo javk cliff na wameweka hadi picha zake akiwa mikononi mwa polisi na madawa kilo 1.1 aliyomeza, kwakweli anatia huruma, waandishi wa habari kibao wamemzunguka!
 
huyu binti alisoma CBE, alikuwa hostel upanga mtaa wa mfaume, baada ya mzee max, na alikuwa na RAV4 nyekundu aliuza baada ya kusikia story za liyumba, ni kweli mzee liyumba alikuwa demu wake na iko wazi, huyu demu alikuwa anasoma certificate then diploma ya Business Admin, ila demu alianza kutokea kwenye shooting ya Ngwair, she gat gwaan, na baadae alitoka na jamaa mmoja wa east coast, na ukweli huyu demu anajulikana kuwa ana NGOMA, a.k.a ukimwi na ndio kisa cha kubwaga na jamaa wa east coast yule, na huyu demu upanga anajulikana sanaaa..
Mara kaja olewa na patrick, ak.a fundikira na mumewe yuko gerezani na kafanya shooting kibao tuu za video......!!
Ni kweli amekamatwa, macao china ila kule minimum sentence ni miaka 8, na ubalozi wa Tz wameshasibitisha na wanaomba tuu TZ msiwe na kumuombea mabaya, eti alikuwa anatafuta, so ndio anavyotuharibia wattoto na ndugu zetu? atajijuaaaaa
 
du kumbe alikuwa demu wa liumba?
 
Kama Liyumba kapita kwahyo Jux,Jamaa wa East Coast,Mtoto wa Fundikira watakuwa wameumia?

Kama muathirika anatumia ARV's (yale madawa ya George Bush), ni vigumu sana kusambaza VVU. Hii inaitwa treatment as prevention. Kwa siyo lazima kila aliyetembea na huyo dada na yeye ni muathirika.
 
ajali kazini kudadek uyo demu namjua very well jamaa angu m1 alimuvuaga day moko 2ko pini mamayake kumbe ana drum kwshnei
 
Kama muathirika anatumia ARV's (yale madawa ya George Bush), ni vigumu sana kusambaza VVU. Hii inaitwa treatment as prevention. Kwa siyo lazima kila aliyetembea na huyo dada na yeye ni muathirika.

na kama walitembea na huyo dada hawawez kuathirika,ishu hapo kama walilala nae na kubadilishana makojoleo
 
hata kamj walilala nae tu na kubadilishana makojoleo hawez pata virurs.labda kama aliingza kojoleo lake ndani ya kojoleo la mwenzake nakufanya simple harmonic motion.
 
Jamaa wa East coast??? Benja adam ambwene hamisi gwamaka sharifu au??
 
Back
Top Bottom