Mrembo maarufu akamatwa na unga (developing...)

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2006
Posts
2,182
Reaction score
891
Kuna taarifa kuwa binti mmoja maarufu katika fani ya urembo/umiss na pia ametokea kwenye videos za bongoflava amedakwa na unga huko Far East. Hii ni developing story...I will name her when it's confirmed 100%

=====
Pia soma:
 
Okay name her please pamoja na source ya hii story
 
Tosabiso abangise mopepe santu nalikolo naipele botema nangae nono ya Yezu mwana nzambe CHISTMASE mobili mobimba naitese didii moningate na losambo ya nkolo nzambe nalobi ya bon a'nnee'. Motema nayaya tete nangai. Izamote na mwana Nzambe ya 2014
 
ndiyo tunasherekea sikukuu ya kuzaliwa kristo n'a tutasherekea n'a mwaka mpya 2014 pia
 
Kuna taarifa kuwa binti mmoja maarufu katika fani ya urembo/umiss na pia ametokea kwenye videos za bongoflava amedakwa na unga huko Far East. Hii ni developing story...I will name her when it's confirmed 100%

Kwa nini usinge subiri?
 
We mtaje,watakuja kukanusha kama tetesi si za kweli.Hii ndio jf
 
Masogange tena.!? yatakuwa sio madawa... ni chemikali...!
 
Tosabiso abangise mopepe santu nalikolo naipele botema nangae nono ya Yezu mwana nzambe CHISTMASE mobili mobimba naitese didii moningate na losambo ya nkolo nzambe nalobi ya bon a'nnee'. Motema nayaya tete nangai. Izamote na mwana Nzambe ya 2014

Mtaani kwenu haikupita operation Kimbunga au unabonya keyboard ukiwa Kivu mkuu??!! ( Kiding)) Ila sijaelewa hicho kilingala!!
 
Ikikojoaga unaombaga muda nae asubirikama jf
 
Tosabiso abangise mopepe santu nalikolo naipele botema nangae nono ya Yezu mwana nzambe CHISTMASE mobili mobimba naitese didii moningate na losambo ya nkolo nzambe nalobi ya bon a'nnee'. Motema nayaya tete nangai. Izamote na mwana Nzambe ya 2014

zairwa zope zairwaaa,nimana barabara eeee
bazara nabazoroo,kangalokola kakeeeeee
mbona kanditatila mareshaaa,mobutu sesesekooooooox2

dozara sese doazara floo,ibokrezii doboyiii
engatitideboyii,nani ye kokiko sunga yekolo
sokimobutu tena nimosusu,mabutu seseseko
 
Hao wenye unga wala siwawazi sana. Namuwaza Kapuya tu ambaye scandal yake imezimwa hivihivi tu.
 
zairwa zope zairwaaa,nimana barabara eeee
bazara nabazoroo,kangalokola kakeeeeee
mbona kanditatila mareshaaa,mobutu sesesekooooooox2

dozara sese doazara floo,ibokrezii doboyiii
engatitideboyii,nani ye kokiko sunga yekolo
sokimobutu tena nimosusu,mabutu seseseko

Safi sana Eng. JF Mokili Modimba
 
Back
Top Bottom