zairwa zope zairwaaa,nimana barabara eeee
bazara nabazoroo,kangalokola kakeeeeee
mbona kanditatila mareshaaa,mobutu sesesekooooooox2
dozara sese doazara floo,ibokrezii doboyiii
engatitideboyii,nani ye kokiko sunga yekolo
sokimobutu tena nimosusu,mabutu seseseko
Ok kwa wale walokuwa wakilalamika 'habari nusu nusu' huyo binti anaitwa Jackie Cliff. ..appeared in Diamondz Nataka Kulewa. Was a runners up or something kwenye miss tz huko nyuma.
Kuna taarifa kuwa binti mmoja maarufu katika fani ya urembo/umiss na pia ametokea kwenye videos za bongoflava amedakwa na unga huko Far East. Hii ni developing story...I will name her when it's confirmed 100%

Huyo mrembo ni tofauti na huyu? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kitanzania-aliyekamatwa-na-heroin-china.html
Ok kwa wale walokuwa wakilalamika 'habari nusu nusu' huyo binti anaitwa Jackie Cliff. ..appeared in Diamondz Nataka Kulewa. Was a runners up or something kwenye miss tz huko nyuma.
Mleta mada haraka ya nini sasa,ungejaribu
kufuatilia kwa umakini ili unapokuja unakuwq
vizuri sana hasa kuhusu hii habari
Sasa unataka tuwe kama waganga wa kienyeji
tunaoanza kuhisi mara flani mara sio
warembo wako wengi sana.
Kwani na wewe ulikuwa na haraka ya nini? Niliomba subira na hatimaye nimekamilisha habari kwa jina la mhusika.
Msichana ana nyodo huyuuuuu....si ndio yy alimkana bintI kiziwi china alivyokamatwa yako wapi sasa Hahahaha
Izabiee, izabieeeee loso na fufu!
zairwa zope zairwaaa,nimana barabara eeee
bazara nabazoroo,kangalokola kakeeeeee
mbona kanditatila mareshaaa,mobutu sesesekooooooox2
dozara sese doazara floo,ibokrezii doboyiii
engatitideboyii,nani ye kokiko sunga yekolo
sokimobutu tena nimosusu,mabutu seseseko
Hahahaha Franco Luambo Makiadi