Jamani sura ya Mrema inatisha.kwa nini asipumzike ?Pesa anayo,of course ana pension nzuri.Anataka nini?
I thought the guy is dead!Hivi vichwa vya threads nyingine havina akili. Katika circles fulani za jamii yetu mtu anayeambiwa "pumzika baba" ni mtu aliyekufa, kwani hilo ndilo pumziko pekee la hakika.Sasa ukiandika "Mrema pumzika baba" kama heading ya thread unawashtusha watu wanaodhani Mrema kashaachia ngazi nini?
Kwani kuandika "Mrema anahitaji mapumziko" which is clearer and unambiguous kuna tatizo gani?
Hivi vichwa vya threads nyingine havina akili. Katika circles fulani za jamii yetu mtu anayeambiwa "pumzika baba" ni mtu aliyekufa, kwani hilo ndilo pumziko pekee la hakika.Sasa ukiandika "Mrema pumzika baba" kama heading ya thread unawashtusha watu wanaodhani Mrema kashaachia ngazi nini?
Kwani kuandika "Mrema anahitaji mapumziko" which is clearer and unambiguous kuna tatizo gani?
Hivi vichwa vya thread nyingine havina akili. Katika circles fulani za jamii yetu mtu anayeambiwa "pumzika baba" ni mtu aliyekufa, kwani hilo ndilo pumziko pekee la hakika.Sasa ukiandika "Mrema pumzika baba" kama heading ya thread unawashtusha watu wanaodhani Mrema kashaachia ngazi nini?
Kwani kuandika "Mrema anahitaji mapumziko" which is clearer and unambiguous kuna tatizo gani?
Jamani sura ya Mrema inatisha.kwa nini asipumzike ?Pesa anayo,of course ana pension nzuri.Anataka nini?
Hata mimi kanistua, usimlaumu kama hilo jina ndio kabila lake tumsahihishe tu hakuwa na maana mbaya si wote wajuao kiswahili fasaha, Mwambie atamke ''msumari''
jamani muacheni mmakonde wa watu nyie vipi??
Jamani sura ya Mrema inatisha.kwa nini asipumzike ?Pesa anayo,of course ana pension nzuri.Anataka nini?
the same 2meI thought the guy is dead!
Heshima kwako Mmakonde,
Tanzania leo iko hoi bin taabani ukitazama sababu ya kufikia hapa tulipo leo ni kuendekeza mambo ya sura.Tulimchagua Muungwana kwasababu ana sura nzuri hatukuangalia uwezo wake hatuuliza hatatufanyia nini sura yake tu ilitosha kumpeleka magogoni.
Tuwe makini tuache kuyapa umuhimu mambo ya kipuuzi na kuacha mambo ya maana.Sura ya mzee wa Kiraracha ni ile ile tangu akiwa mbunge na hatimae waziri sana sana ngozi yake imebabuka.kama uongozi ni sura basi S wasira kamwe asingeupata uwaziri,sijui kama umewahi kukutana naye kwa karibu,na kwambia utakiri Mrema ana afadhali kuliko Wasira hata hivyo uongozi si sura bali ni kipaji na uwezo.
Jamani sura ya Mrema inatisha.kwa nini asipumzike ?Pesa anayo,of course ana pension nzuri.Anataka nini?
Hivi vichwa vya threads nyingine havina akili. Katika circles fulani za jamii yetu mtu anayeambiwa "pumzika baba" ni mtu aliyekufa, kwani hilo ndilo pumziko pekee la hakika.Sasa ukiandika "Mrema pumzika baba" kama heading ya thread unawashtusha watu wanaodhani Mrema kashaachia ngazi nini?
Kwani kuandika "Mrema anahitaji mapumziko" which is clearer and unambiguous kuna tatizo gani?
HII HAPA
jamani sura ya mrema inatisha.kwa nini asipumzike ?pesa anayo,of course ana pension nzuri.anataka nini?