Mrema pumzika baba

mbona Mzee wa Kilwa ni skeleton haamsemi sura yake.kinachotakiwa ni fikra chanya siyo sura.Hata wewe Mmakonde ya kwako ina kasoro.
 
Jamani sura ya Mrema inatisha.kwa nini asipumzike ?Pesa anayo,of course ana pension nzuri.Anataka nini?

1. We yako nzuri? mbona hugombei u-miss

We bana uchimumunye wala uchiteme, uchichimame wala uchikae una visa wewe!!!
 
post_new.gif
Today, 10:08 AM Nguli This message has been deleted by Nguli.





ULIANDIKA NINI HAPO NGULI?......:D
 
huyu Mmakonde hapa kakurupuka.....je anajua umri wa hao waliopo Bungeni??hawana pesa?hawana penseheni.huyo Mbunge wa kuteuliwa na JK simtaji jina tangu enzi ya TANU yupo je ni pesa hazimtoshi??je hana pensheni??

Mmakonde umechemsha....au unatumiwa??
 
I didnt meant to say Mrema is dead.Political correctness is killing us!
Maana yangu kwamba Mrema ni mgonjwa,why is allowed to to lead the Party?
Kama watanzaniua hatuona hilo,basi we are doomed.


mbona hamumshangai YAR ADUA...AU hata Rais wetu naye si afya yake mgogoro...infact most of us people are dead people working...au mnafikiri anayearibika sura ndio mgonjwa kuliko wote...kuna magonjwa mengine yapo ndani ndani .......mzee mandela anakuambia " the pain you cannot see is the most awful"" ..... kuna watu wanatembea kwa maumivu makubwa moyoni na mwilini.....kuliko wenye majeraha yanayoonekana..tukitaka kubagua ...kwa sura .....hatutatenda haki!!!
 
Jamani sura ya Mrema inatisha.kwa nini asipumzike ?Pesa anayo,of course ana pension nzuri.Anataka nini?

siyo apumzike, ni kwamba kazi aliyotumwa kaimaliza sasa arudi CCM akapokee ujira wake na akachukue pensheni yake.
 
Sijamu attack Mmakonde, nimesema kuhusu vichwa vya threads vilivyo irresponsible. Can you see past imagined personal clashes at all?

Mkuu, nilikuwa najoke maana niliona upepo umevuma against mmakonde... no malice bro'!!!
 
very interesting comments do far from JF family. nina swali moja tu kwa Mmakonde..

1. Tanzania tunaelekea uchaguzi mkuu, hebu tuambie tuwachagu viongozi wapi ambao ni warembo i.e wana sura nzuri..


swali la nyongeza...

halafu hawana hela.... maana umesema mrema ana sura imechoka na PESA ANAYO
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom