Mrema pumzika baba

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
966
66
Jamani sura ya Mrema inatisha.kwa nini asipumzike ?Pesa anayo,of course ana pension nzuri.Anataka nini?
 
Hivi vichwa vya threads nyingine havina akili. Katika circles fulani za jamii yetu mtu anayeambiwa "pumzika baba" ni mtu aliyekufa, kwani hilo ndilo pumziko pekee la hakika.Sasa ukiandika "Mrema pumzika baba" kama heading ya thread unawashtusha watu wanaodhani Mrema kashaachia ngazi nini?

Kwani kuandika "Mrema anahitaji mapumziko" which is clearer and unambiguous kuna tatizo gani?
 
I thought the guy is dead!
 
muache mmakonde wa watu... wewe vipi?:D
 
Hivi vichwa vya thread nyingine havina akili. Katika circles fulani za jamii yetu mtu anayeambiwa "pumzika baba" ni mtu aliyekufa, kwani hilo ndilo pumziko pekee la hakika.Sasa ukiandika "Mrema pumzika baba" kama heading ya thread unawashtusha watu wanaodhani Mrema kashaachia ngazi nini?

Kwani kuandika "Mrema anahitaji mapumziko" which is clearer and unambiguous kuna tatizo gani?

Hata mimi kanistua, usimlaumu kama hilo jina ndio kabila lake tumsahihishe tu hakuwa na maana mbaya si wote wajuao kiswahili fasaha, Mwambie atamke ''msumari''
 
Jamani sura ya Mrema inatisha.kwa nini asipumzike ?Pesa anayo,of course ana pension nzuri.Anataka nini?

Heshima kwako Mmakonde,

Tanzania leo iko hoi bin taabani ukitazama sababu ya kufikia hapa tulipo leo ni kuendekeza mambo ya sura.Tulimchagua Muungwana kwasababu ana sura nzuri hatukuangalia uwezo wake hatuuliza hatatufanyia nini sura yake tu ilitosha kumpeleka magogoni.

Tuwe makini tuache kuyapa umuhimu mambo ya kipuuzi na kuacha mambo ya maana.Sura ya mzee wa Kiraracha ni ile ile tangu akiwa mbunge na hatimae waziri sana sana ngozi yake imebabuka.kama uongozi ni sura basi S wasira kamwe asingeupata uwaziri,sijui kama umewahi kukutana naye kwa karibu,na kwambia utakiri Mrema ana afadhali kuliko Wasira hata hivyo uongozi si sura bali ni kipaji na uwezo.
 
jamani muacheni mmakonde wa watu nyie vipi??
 
bado yuko kazini, kibaraka au kada wa ccm huwa hawazeeki....
 
I didnt meant to say Mrema is dead.Political correctness is killing us!
Maana yangu kwamba Mrema ni mgonjwa,why is allowed to to lead the Party?
Kama watanzaniua hatuona hilo,basi we are doomed.
 
Jamani sura ya Mrema inatisha.kwa nini asipumzike ?Pesa anayo,of course ana pension nzuri.Anataka nini?

Nadhani kuna tatizo kwa ndugu yangu huyu. Nakumbuka hata uchangiaji wake kwenye suala la msaada wa Gadaff kwa waathirika wa mafuriko Kilosa haukuwa wa kawaida. Kaka inakuwaje lakini mbona unatoa adhabu kali kwa binadamu wenzako?
 
Champunga naona ukasome UHURU,au Mzalendo!
Kama hukubali kuwa Mrema ni mgonjwa,katika strong democratic country,huyu awezi kuongoza chama cha siasa.Tumeona ameanza kujikomba SISIEM,wakati ana chama chake cha TLP.May be alitaka matibabu India
 
Heshima kwako Mmakonde,

Tanzania leo iko hoi bin taabani ukitazama sababu ya kufikia hapa tulipo leo ni kuendekeza mambo ya sura.Tulimchagua Muungwana kwasababu ana sura nzuri hatukuangalia uwezo wake hatuuliza hatatufanyia nini sura yake tu ilitosha kumpeleka magogoni.

Tuwe makini tuache kuyapa umuhimu mambo ya kipuuzi na kuacha mambo ya maana.Sura ya mzee wa Kiraracha ni ile ile tangu akiwa mbunge na hatimae waziri sana sana ngozi yake imebabuka.kama uongozi ni sura basi S wasira kamwe asingeupata uwaziri,sijui kama umewahi kukutana naye kwa karibu,na kwambia utakiri Mrema ana afadhali kuliko Wasira hata hivyo uongozi si sura bali ni kipaji na uwezo.

Ama kweli!
icon10.gif
 
Hivi vichwa vya threads nyingine havina akili. Katika circles fulani za jamii yetu mtu anayeambiwa "pumzika baba" ni mtu aliyekufa, kwani hilo ndilo pumziko pekee la hakika.Sasa ukiandika "Mrema pumzika baba" kama heading ya thread unawashtusha watu wanaodhani Mrema kashaachia ngazi nini?

Kwani kuandika "Mrema anahitaji mapumziko" which is clearer and unambiguous kuna tatizo gani?

Ha ha ha!jamani mkumbuke wengine humu ndani hatuna skills za uandishi wa habari kabisa lakini pia ni muhimu kuandika vichwa vya habari ambavyo vinagusa watu..asingeandika hivi angekupataje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom