BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,909
- 9,038
Kama kawaida yetu wakuu huu ni mrejesho kwenu ndugu zangu.
Kwa hili mimi nitaoa Rwanda.
Sisi ni kama ndugu kanuni yetu ile ile ya kupeana habari mbali mbali ili tuendelee kujifunza. Kama nilivyoainisha katika uzi wangu wa awali kwamba bongo bahati mbaya nitajiripua Rwanda. Nilifanikiwa kupata mtoto wa kirwanda nipo naye gheto hapa, Lakn ndugu zangu nmekuja kuona hawa watoto hawanakitu kabisa mpaka najiraumu.
1.Hawajui mambo kunako sita kwa sita. Ccm kirumba nimeona bado kiwanja bora kwangu.
2.Kupika hawajui kabisa aisee naona shida tu, ugali ndo kabisa yani mpaka napika mwenyewe.
3.wazembe mbaya yani acha tu wakuu kazi kuongea kilugha na ndugu zake kwa cm. Unaweza kuta hata vyombo hajaosha.
Ushauri wangu kwenu wakuu Wanawake wa kibongo ndo wenyewe hawa viumbe wamejaliwa sura tu but nothing aisee, tuache ulimbukeni na hawa watu mi ananikela kweli wakuu