Mrejesho wakuu 'kwa hili mimi nitaoa Rwanda"

alafu na yy unamridhisha anafika kilieleni ukute unafanya tuu upate raha peke yako,kiutamaduni wetu lazima mwanamke aridhishwe na aandaliwe vyema kwahiyo kazi kwako
Namwandaa vzr sana na anakubali mziki wangu ila mi bado cjakubali wa kwake coz ye mbinafsi ye anakuwa gogo kwa kitanda harafu akirizika yeye tu anakuwa mzembe
 
Kama kawaida yetu wakuu huu ni mrejesho kwenu ndugu zangu.

Kwa hili mimi nitaoa Rwanda.

Sisi ni kama ndugu kanuni yetu ile ile ya kupeana habari mbali mbali ili tuendelee kujifunza. Kama nilivyoainisha katika uzi wangu wa awali kwamba bongo bahati mbaya nitajiripua Rwanda. Nilifanikiwa kupata mtoto wa kirwanda nipo naye gheto hapa, Lakn ndugu zangu nmekuja kuona hawa watoto hawanakitu kabisa mpaka najiraumu.
1.Hawajui mambo kunako sita kwa sita. Ccm kirumba nimeona bado kiwanja bora kwangu.

2.Kupika hawajui kabisa aisee naona shida tu, ugali ndo kabisa yani mpaka napika mwenyewe.

3.wazembe mbaya yani acha tu wakuu kazi kuongea kilugha na ndugu zake kwa cm. Unaweza kuta hata vyombo hajaosha.

Ushauri wangu kwenu wakuu Wanawake wa kibongo ndo wenyewe hawa viumbe wamejaliwa sura tu but nothing aisee, tuache ulimbukeni na hawa watu mi ananikela kweli wakuu
c354680e5590e2ba11585e210f2067b4.jpg
na kucha anafuga usitarajie kupata wife material hapo
 
Mlete kwangu nimpe mafunzo nafundisha wanawake majukum yote ya nyumbani kwa bei poa atakuwa vizuli kama wengine haina haja ya kulalamika sana
 
Maneno ya vijiweni yanawaponza tatizo
Na mapivha picha ya kwenye mitandao.
Ila kiufupi mtu ukitaka wife material,
Mwenye heshima, mwenye kuilea familia kimaadili, awaheshimu ndugu zako na familia yako. Ambaye mtaendana kutokana na tamaduni zetu.
Mzuri kuanzia umbo sura etc.
huwezi kumpata kokote zaidi ya Tanzania.
 
tabia za mabinti wa Kinyaru...wanapenda kuzaliana wao kwa wao...weee unaishia kulea watoto wa wenzio
 
wabongo nilichoshwa na makelele ila bora makelele kuliko Huu msiba
Acha uboya wewe mzarishe tupate mbegu ya watoto mambo mengine atayajua akianza kuchepuka vijana wa kihuni watamfundisha kwa kumpiga mambo kibabe we siunamwonea huruma na aibu
 
Ahh watoto wa kagame kama banyankole wa uganda...huwaga wacax sana...sura nzuri ila wababe/ wakatili. Hawabembelezi mtu
 
Back
Top Bottom