Jaman naomba nije inbox kuna elimu natakaHuo uchawi upo mbele ya Ilula, kijiji kimoja kinaitwa Nigeria ndogo (jina lake la Aslil nimesahau), wapo wataalam wakinga hapo ni balaa ila ni wa kweli. Sema uchawi wa kikinga wengi hawautaki, una masharti zaidi ya magumu yaani. Nishafika huko kipindi najitafuta, acha mzee, maisha haya tushateseka sana, mtu akikukuta unajipata anatamani ila njia ni ngumu sana.
mkuu nime kupmmkuu naomba unitumie namba pm ya huyo mtaalam ninashida kwakwel