ngeti
New Member
- May 11, 2022
- 1
- 2,386
Ndugu zangu maisha sio kutafutana, maisha ni kutafuta, mwanaume kama huna pesa, basi niseme maisha yako yatakua ya hovyo na utakufa ukiwa na uchungu sana..
Safari ni ndefu sana iliyojaa tabu shida na changamoto kubwa sana, nasema ukimuona tajiri ana pesa zake tafadhali mpe heshima yake bila kinyongo.
Nidiriki kusema wakuu nishavuka mto na mtumbwi kwenda tu kusaka utajiri, nshavuka mkondo wa maji yanayoenda kasi nikiwa na bodaboda, yote kusaka utajiri, kote huko unaenda na unapitia shida ila unakuta ni wasanii tu, nimepiga hadi zambia unaingia kwa mtaalam unakuta mijoka, malawi sijui chitipa, ileje, tunduma, kote huko usanii tu hamna lolote, na unakuta konekshen unapata humu humu, kumbe watu wana lao jambo, wengi huku ni matapeli, na konekshen unakuta unapewa na members humu wengine ni maarufu kabisa ila kumbe unakuja gundua ni wasanii tu, na mishe zao mjini za kisanii yan wanaish kwa deiwaka!
Ila naamin kuna mataita wanaoeleweka wenye konekshen za ukweli humu sio rahis wakupe konekshen mana wanakuangalia kama wewe ni mtu umedhamiria au hoya hoya tu, kwaio wale wenzangu na mimi mnaotafuta hizi konekshen msifikirie ni jambo rahisi sana, na pia niwape ushaur tusikate tamaa, ilibaki kidogo nijiunge freeemason, hadi kidogo kujiunga na secret cults za huko nigeria, ila sjui ndio msemo wa ng'ombe wa maskini hazai, dah!,
Binafsi najua humu kuna mataita kwaio bado sijakata tamaa naendelea kusaka utajiri , umaskini hauzoeleki mataita nisaidieni koneksheni.