Mrejesho uzi wa kujilipua

Mrejesho uzi wa kujilipua

Piga kazi bro naamini huwez kutumia muda vibaya lazima utoboe usije kuwa kama Le mutuz aliekaa huko miaka 20+ kapoteza muda bure sahiv karud kuish kwa baba yake na anamiaka 60+
Akikuskia unamsingizia kakaa 20yr mtagombana,
sema 35+ Gadem life U S yu know.
Karudi 75 years old boy na dola 1000 kudeka kwa babaake.
American spirit yu kno.
 
Unaruka ruka sana..... je unafanya sanaa gani?
Sielewi huyu jamaa huko kwenye sanaa wapopo wamejaa huko Europe na vingoma vyao,kukata viuno,kuchora,uchawi kila kitu wanajua wao.
Kuna wabongo kadhaa na wacongo hata wakenya nawajua wako vizuri kisanii huko ila imeshindikana.
ni mwendo wa kuchakaza soli tu.
Sasa hii sanaa ya jamaa sijui ipi tusiyoijua.
 
Hizo ni dreams za kila Mtu kwenda kuishi mamtoni

So binafsi mwaka 2024 panapo uzima naenda Paris
Sio kweli enzi za Magu ilikuwa ukienda huko unapaona panaboa unapamiss nyumbani, kwanza watu walikuwa wakisikia unatokea Tz wanakuwa interested na ww, Magu aliamusha Tanzania na kwa hii miundo mbinu aliyokuwa anadizain mwenyewe alisema Tz itakuwa zaidi ya ulaya na wao waje kwetu.
Ila kwa sasa wananchi wamerejea ile hali ya kuichukia nchi yao

Anyway Mungu anawaona!
 
Uzi huu ulinipa chachu ya kuja Europe. Mwaka jana mwezi wa tisa niliingia rasmi Europe. Nimeshatimiza mwaka na ushee sasa.

Nimekuja kwa njia ya masomo na sina mpango wa ...... bongo kiukweli. Bongo nilikua na ajira ndio ila sikuona future yoyote. Biashara zangu pia ziliyumba, sikuona mwanga ila pia nilikuwa mdau wa uzi wa kujilipua nje ule kitambo sana. So nikaamua niufanyie kazi.

Hii ni ID yangu nyingne mpya ofcourse ya zamani naona imepigwa ban ya maisha. Ila fresh tu, muhimu pumzi

Cha msingi nachoweza sema, njia ya shule kama una documents zote muhimu basi ni njia nzuri sana maana visa unapewa fasta sana, na msingi ni kwamba documents zako ziendane tu.

Kwa Ulaya haina shida unapewa fasta, kwa US na Canada na Australia inabidi uwa convince vizuri ili wasione kama utaenda zamia; ila kwa Ulaya wala hawaangalii sana. Tena kama unajilipia ada ndiyo kabisaa.

Hakikisha proof yako ya financial ipo vizuri, kama una ndugu wa kukusaidia onyesha bank statements basi fanya hivyo etc. Maana hii ndiyo kigezo namba 1 cha kupewa au kunyimwa visa. Kama wataona ni nchecheme nchecheme. Kwamba usije ukaenda ukawa omba omba bure mitaani.

All in all, life huku ni zuri mnoo, hakuna uonevu wa kijinga, ubabaishaj na maudhi, husikii watu wameiba mapesaa serikalini wala husikii kelele za ki chawa.

Huku kila kitu utashangaa siku za kwanza, ni kuzuri mno. Nimezaliwa Dar nimekulia Dar, naweza sema Tandale ya huku kwa huko hata Masaki haioni ndani, sorry ni kuzuri kweli.

Mimi nasoma, napiga kazi za kunipa kahela pia ni artist so naingiza pesa kupitia njia hizi, maana watu wa huku wanathamini sana art.

Uzi tayari.
Ngoja nikae hapa
 
Yani nimefatilia majibu yako katika uzi huu huna tofauti na sisi tuliobaki hapa Tz na unaonekana una chembechembe za usukuma au uhaya.Nilidhani umeleta Uzi ili ufundishe na kuwabadilisha watu but ni kama ulioleta kutusimanga.

Sasa rational being unaulizwa upo Nchi gani unafanya siri-what for-huku unatumia ID fake???,unaulizwa tueleze kiasi cha pesa ambacho MTU anapaswa kuwa nacho bank angalau awe considered kupewa visa hutaji.Mambo mengi unaulizwa unajibu bla bla tu.
Nimesema mimi nikaitwa hater na video nikatumiwa ya kichambo

Wanatafutwa watu wakuliwa pesa na mbususu,

Nimekaa paleeeeeeeeee
 
🤣🤣chukua jiko Hilo mkuu.nimvumilivu anaweza kula hata dagaa..sijui Kama huko majuu wapo🤣🤣?
Dagaa,kambare huko chakula ya paka na mbwa mkuu.
Usijaribu kupika km uko na blonde ndani utamkuta kwao na mashtaka kibao.
 
Sielewi huyu jamaa huko kwenye sanaa wapopo wamejaa huko Europe na vingoma vyao,kukata viuno,kuchora,uchawi kila kitu wanajua wao.
Kuna wabongo kadhaa na wacongo hata wakenya nawajua wako vizuri kisanii huko ila imeshindikana.
ni mwendo wa kuchakaza soli tu.
Sasa hii sanaa ya jamaa sijui ipi tusiyoijua.
Hata mimi shauku yangu ni kujua sanaa gani anafanya.
 
Kiukweli nilitoka na mpunga mref sana.. I sold my car na lots of stuffs, biashara zangu zote niliuza. Inshort I was done na bongo... Nilitoka na mpunga mrefu.

Mim sababu nina elimu nzuri pia document zangu za kishule zimenyooka so ilikuwa rahisi sana kupata visa. Ilichukua week hivi..

Na pia bank statement nilizopresent zilikuwa zimeshiba mno.. Nilitumia yangu na ya my brother.. na hii ndo point namba moja kupewa visa.

Pia kozi yangu niliyochagua ya masters iliendana na bachelor yangu so hawakuwa na neno. Hata interview niliulizwa swal 1 tu kudadek.. why i choose their country.. mengine hakuniuliza sababu document zangu zilikuwa zimenyooka

About what i am making.. namake pesa nzuri tu kaka.... Hapa napokaa nalipa kodi kibongo bongo ni kama 1.2m hivi.. sasa you can imagine na nna mpango wa kuhama maana napaona padogo.
Kwa nini hujibu maswali as asked? Unaulizwa sh ngapi za kitanzania unajibu mpunga mreefu what's that? Wewe si ni msomi na uko Ulaya? Hujaiga hata vitabia vya wazungu kuwa wa kweli na kujibu as asked?
 
Hata mimi shauku yangu ni kujua sanaa gani anafanya.
Hamna sanaa ya kuingiza pesa ndefu huko tusidanganyane.
Kazi sawa sanaa extra km hobby na uwe na muda.
Kuna Wacongo wakata viuno na kupenda kwao muziki lakini wanashika mafagio kufagia badala ya gitaa,na kudisc sio mziki vyombo kuosha,wengine wanalea vizee.
Ndo kazi zilizopo
 
Mtoa mada hongera.
Ukiwaelezea watu jinsi mshahara ulivyomkubwa usisahau kuwaeleza jinsi cost of living ilivyojuu pia.
Point sana, maana nasikia unalipwa vizuri ulaya ila kodi ya nyumba juu, health insurance juu, fire simu n.k
Natamani kupata ufafanuzi katika hili
 
Hamna sanaa ya kuingiza pesa ndefu huko tusidanganyane.
Kazi sawa sanaa extra km hobby na uwe na muda.
Kuna Wacongo wakata viuno na kupenda kwao muziki lakini wanashika mafagio kufagia badala ya gitaa,na kudisc sio mziki vyombo kuosha,wengine wanalea vizee.
Ndo kazi zilizopo
Mkuu acha tu. Sanaa naijua vizuri na Ulaya naijua vizuri.
Kiufupi anachodai mtoa mada ni ndoto.
 
Kwa nini hujibu maswali as asked? Unaulizwa sh ngapi za kitanzania unajibu mpunga mreefu what's that? Wewe si ni msomi na uko Ulaya? Hujaiga hata vitabia vya wazungu kuwa wa kweli na kujibu as asked?
Why should i answer you . Whyyyyy. Well..i dont answer hypocrites.. at alll. Period
Nikishakwambia itakusaidia nn.
 
Mtoa mada hongera.
Ukiwaelezea watu jinsi mshahara ulivyomkubwa usisahau kuwaeleza jinsi cost of living ilivyojuu pia.
Well... Negativity iliyopo humu . Sina hata hyo mood ya kujib watu aisee... I ll be just wasting time... Wabongo ni watu wa ajabu sanaa . Najutaa.
 
Hamna sanaa ya kuingiza pesa ndefu huko tusidanganyane.
Kazi sawa sanaa extra km hobby na uwe na muda.
Kuna Wacongo wakata viuno na kupenda kwao muziki lakini wanashika mafagio kufagia badala ya gitaa,na kudisc sio mziki vyombo kuosha,wengine wanalea vizee.
Ndo kazi zilizopo
Sasa mfano huyu jamaa anakuuliza kitu. Utamjib kwel?? Hahaha... Wrong people at the wrong thread .. dah... Najuta... Kwel wabongo ni watu wa hovyo sana
 
Mkuu acha tu. Sanaa naijua vizuri na Ulaya naijua vizuri.
Kiufupi anachodai mtoa mada ni ndoto.
And you expect me to answer you any? With such negativity?? You got no room here dada angu.

Hypocrisy at its level.. mtu anataka umjib akukosoe... Tutafika kwel...

Hiv you guys . .. do you hear yourselves... Go and look at the mirror halaf jiulize why unakua hiv.. why usione +ve side ya mtu... Why so much evil wabongo... Hahah. Duh.. siamin nachoona yan... No wonder diaspora huficha sana white kwa crooks kama wa hum jf.
 
Back
Top Bottom