REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,164
- 11,270
Yani mbongo umpe ABC za jambo la mafanikio Mungu wangu anakuharibia kabisa jaribu tu mbeba mwana anayeijua familia yako na anamjia boss wako mpe bata la maana Kila siku na ajue michepuko yako yani pamoja na kumpa bata na kumlinda za vocha mwana hawezi vulimia atamwambia tu mkeo shemeji nakupenda ila nakupa siri ila usiseme mjomba chambuli ana kusaliti😂😂😂 hapo ni kwenye mambo ya ajabu tu atunzi Siri je mambo ya maanaPamoja mkuu


