Mrejesho uzi wa kujilipua

Mrejesho uzi wa kujilipua

Watu weng wananishaur hvyo.. ila sasa dah... Mi napenda wazungu . Halaf pia i want a mixed race kwenye family yangu. Nna pressure from home wananambia nipambane nipeleke mzungu. Hahaha
😅😅😅Kaka zako wengi waliooa hao watu wanalia na kujuta sana, rudi home oa kwenu utanikumbuka
 
Yap wanachek... Mantiki yao ni kwamba.. uje huku ukiwa na uwezo wa ku afford maisha. Hawatak mtu ashindwe hela ya kula. Sio ishu sana kupata hzo statements. Unaweza tumia hata ya mtu..kama mdhamin..barua yake tuu yenye muhur wa foreign affairs pale .muhur elf 20 tu pale na hzo bank ststements..bas umemaliza
Natamani mwakani nije kimasomo kwa kweli
 
Ofcourse ntakuja bongo but only for my family. Baba. Mama.. na ndugu zangu. Kuwekeza pia ila kuish. No No.. i am done with bongo bro.

I do lots of things bro.. huku chochote artistic kinavuta hisia za watu . If you can draw/paint... Play jazz music..old african music zile Og kabisa.. if you can write ... Ukitengeneza vtu vya asil... Chochote ilimrad kiwe orijinal sio cha kuiga . Unatoboa vibaya mnoo
Unaruka ruka sana..... je unafanya sanaa gani?
 
Nuksi sana nina mifano hai mingi kuna mzee mmoja alitapeliwa na nduguze dola 50k, baada ya muda akaja kusalimia wakamuwekea sumu, mpaka saiv yuko kitandani hoooooi,, mwingine walimroga kaja na mke wa kizungu na wanae 3, kufika airport huko ulaya kachanganyikiwa kamchapa makofi mkewe,(wazungu hawaelewi mambo ya ushirikina kamshtaki kwenye mamlaka,, kawekwa kituo cha watu wenye autism) tangu akiwa na early 50's saiv ni mzee wa miaka sabini, watoto mama yao aliongea mbovu kuwa waafrika wanyama nk kumbe hajui ni ushirikina nk

Nadhani utaona hapo wabongo tulivyo

Ila ukipata kanafasi mie nikumbuke sina roho hiyo
Halafu ndugu huwa wanajua ndugu yao kila siku pesa anazo, tena mkewe akiwa mnene hivi uwiii anafaidi pesa ya ndugu yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana sana, ila usijichanganye ukaoa mzungu utakoma,, dada zako sie unatuona mwajuma ndala ndefu ila nikwambie ni sie tunawajua kuwahandle nyie wanaume wa kiafrika na tabia zenu,, una vingi vya kujifunza
Namie nilimwambia usiku, kwa tabia za wanaume wa kiafrika wanazijua wanawake wa kiafrika, mwanamke wakiafrica kukopi kwa mmewe mthungu haina shida, sasa kina mwita mmm sijui kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote kwa yote ulaya ukienda kwa malengo unatoboa. Achana na hao wadogo zako walioangalia video za kina 50 cent wakaenda huko na mentality hiyo wakijua mambele ni bata tu.

Uzunguni ukijifanya lofa una-make.

Nina ndoto pia
Umeona eee inategemea walienda kufanya nini na kwanjia zipi na malengo yapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nimefatilia majibu yako katika uzi huu huna tofauti na sisi tuliobaki hapa Tz na unaonekana una chembechembe za usukuma au uhaya.Nilidhani umeleta Uzi ili ufundishe na kuwabadilisha watu but ni kama ulioleta kutusimanga.

Sasa rational being unaulizwa upo Nchi gani unafanya siri-what for-huku unatumia ID fake???,unaulizwa tueleze kiasi cha pesa ambacho MTU anapaswa kuwa nacho bank angalau awe considered kupewa visa hutaji.Mambo mengi unaulizwa unajibu bla bla tu.
 
Back
Top Bottom