Hahahah... Ni kwel kabisa. Wabongo wana roho chafu sana. Imejidhihirisha kwenye huu uzi.. daah. Sirudii tena. Yaan ndo nawaelewa kwann diaspora weng hawanaga time na wabongo. Yaan hata kuwapa watu mbinu za kuja huku huwa hawatoi sabab wanajua wabongo nuksi.Kwa roho mbaya tuliyonayo wabongo ukirudi na hizi tambo zako watakuroga vibaya mno,, kitu pekee nakutahadharisha ukija kusalimia wazazi keep low profile, ingia na kuondoka kama mwizi
Kaka nakushaur fanya michakato usepe hapo. .. yajayo mbele ni worst zaid ya hapo mlipo.. ukiangalia watu wanajigawia tu serikal watakavyo . Na wengne mnaonekana ni takataka. No one cares ... As long as wao wako kwenye kulamba asal hawajal kama kuna vijana wanapambana kila kukicha .. sanasana wanaongeza matozo tu. Hapo sio kaka. Tokea magu afe.. napachukia snaa hapo●Kamali
●Ngono biashara
●Kuondoka na kijiji [ sifa ]
●Misongo
●Madeni ya kausha damu
●omba omba [ wasichana ]
●Uraibu wa tik tok
●Nafasi ya mungu kwenye nafsi ya mtu ni zero
Mungu ibariki tanzania
Nuksi sana nina mifano hai mingi kuna mzee mmoja alitapeliwa na nduguze dola 50k, baada ya muda akaja kusalimia wakamuwekea sumu, mpaka saiv yuko kitandani hoooooi,, mwingine walimroga kaja na mke wa kizungu na wanae 3, kufika airport huko ulaya kachanganyikiwa kamchapa makofi mkewe,(wazungu hawaelewi mambo ya ushirikina kamshtaki kwenye mamlaka,, kawekwa kituo cha watu wenye autism) tangu akiwa na early 50's saiv ni mzee wa miaka sabini, watoto mama yao aliongea mbovu kuwa waafrika wanyama nk kumbe hajui ni ushirikina nkHahahah... Ni kwel kabisa. Wabongo wana roho chafu sana. Imejidhihirisha kwenye huu uzi.. daah. Sirudii tena. Yaan ndo nawaelewa kwann diaspora weng hawanaga time na wabongo. Yaan hata kuwapa watu mbinu za kuja huku huwa hawatoi sabab wanajua wabongo nuksi.
Videos zinaingizwa nyimbo itakua maneno,Naomba mtumie hii video huyo dada mwenye roho mbayaView attachment 2459815
Mbona unafosi atume video sisi tunaamini yuko ulaya kama huamini sio lazima ufuatilieVideos zinaingizwa nyimbo itakua maneno,
Piga picha ukiwa sehemu utakayoniaminisha kweli upo Ulaya
hahahah. Duh. Bas sipo ulaya dada. .. nahis una internal conflicts za roho na maisha.. nashaur uende church wakatoe hyo roho mbaya dada angu . Kama ni mke wa mtu au gf wa mtu bas huyo jamaa ana kaz aisee... Inaelekea kuja ulaya kwako ni kitu kisichowezekana kabisa.. dah. Hahhaha...Videos zinaingizwa nyimbo itakua maneno,
Piga picha ukiwa sehemu utakayoniaminisha kweli upo Ulaya
Pa1 kapeace. Nakufaham vzur. Huna shida wew .. mim ni mkongwe hum sema ID yangu nahis ni mwez wa 6 huu imepigwa ban halaf mod kasahau kunifungulia. Ndomana umeona nna Id nyingneNuksi sana nina mifano hai mingi kuna mzee mmoja alitapeliwa na nduguze dola 50k, baada ya muda akaja kusalimia wakamuwekea sumu, mpaka saiv yuko kitandani hoooooi,, mwingine walimroga kaja na mke wa kizungu na wanae 3, kufika airport huko ulaya kachanganyikiwa kamchapa makofi mkewe,(wazungu hawaelewi mambo ya ushirikina kamshtaki kwenye mamlaka,, kawekwa kituo cha watu wenye autism) tangu akiwa na early 50's saiv ni mzee wa miaka sabini, watoto mama yao aliongea mbovu kuwa waafrika wanyama nk kumbe hajui ni ushirikina nk
Nadhani utaona hapo wabongo tulivyo
Ila ukipata kanafasi mie nikumbuke sina roho hiyo![]()
Uzi huu ulinipa chachu ya kuja Europe. Mwaka jana mwezi wa tisa niliingia rasmi Europe. Nimeshatimiza mwaka na ushee sasa.
Nimekuja kwa njia ya masomo na sina mpango wa ...... bongo kiukwel. Bongo nilikua na ajira ndio ila sikuona future yoyote. Biashara zangu pia ziliyumba, sikuona mwanga ila pia nilikuwa mdau wa uzi wa kujilipua nje ule kitambo sana. So nikaamua niufanyie kazi.
Hii ni ID yangu nyingne mpya ofcourse ya zaman naona imepigwa ban ya maisha. Ila fresh tu, muhimu pumzi
Cha msingi nachoweza sema, njia ya shule kama una documents zote muhimu basi ni njia nzuri sana maana visa unapewa fasta sana, na msing ni kwamba documents zako ziendane tu.
Kwa Ulaya haina shida unapewa fasta, kwa US na Canada na Australia inabidi uwa convince vizuri ili wasione kama utaenda zamia; ila kwa Ulaya wala hawaangalii sana. Tena kama unajilipia ada ndiyo kabisaa.
Hakikisha proof yako ya fanancial ipo vizuri, kama una ndugu wa kukusaidia onyesha bank statements basi fanya hivyo etc. Maana hii ndiyo kigezo namba 1 cha kupewa au kunyimwa visa. Kama wataona ni nchecheme nchecheme. Kwamba usije ukaenda ukawa omba omba bure mitaani.
All in all, life huku ni zuri mnoo, hakuna uonevu wa kijinga, ubabaishaj na maudhi, husikii watu wameiba mapesaa serikalini wala husikii kelele za ki chawa.
Huku kila kitu utashangaa siku za kwanza, ni kuzuri mno. Nmezaliwa Dar nmekulia Dar, naweza sema Tandale ya huku kwa huko hata Masaki haioni ndani, sorry ni kuzuri kweli.
Mimi nasoma, napiga kazi za kunipa kahela pia ni artist so naingiza pesa kupitia njia hizi, maana watu wa huku wanathamini sana art.
Uzi tayari.
Yap wanachek... Mantiki yao ni kwamba.. uje huku ukiwa na uwezo wa ku afford maisha. Hawatak mtu ashindwe hela ya kula. Sio ishu sana kupata hzo statements. Unaweza tumia hata ya mtu..kama mdhamin..barua yake tuu yenye muhur wa foreign affairs pale .muhur elf 20 tu pale na hzo bank ststements..bas umemalizaVipi kwa mtumishi bado wanaangalia akaunti ina bei gani?
#MYDREAM
Ndo unitumie yuro nile sikukuu vizuri,Pa1 kapeace. Nakufaham vzur. Huna shida wew .. mim ni mkongwe hum sema ID yangu nahis ni mwez wa 6 huu imepigwa ban halaf mod kasahau kunifungulia. Ndomana umeona nna Id nyingne
Pambana sana, ila usijichanganye ukaoa mzungu utakoma,, dada zako sie unatuona mwajuma ndala ndefu ila nikwambie ni sie tunawajua kuwahandle nyie wanaume wa kiafrika na tabia zenu,, una vingi vya kujifunzaMim ni mpambanaj kaka
Nikwel kabisa.. ngoja niachane nao hao watu wa negativity.Ndo unitumie yuro nile sikukuu vizuri,
Puuzia maudhi usiharibu nguvu zako kujibu mtu asiekuamini isitoshe usiemjua, wala hata picha na video usitume, ukikomaa utaonekana tapeli na mwenye kutafuta attention, uturingishie ufurahi
Yote kwa yote ulaya ukienda kwa malengo unatoboa. Achana na hao wadogo zako walioangalia video za kina 50 cent wakaenda huko na mentality hiyo wakijua mambele ni bata tu.Nenda uje kutueleza naona umekasirika ila ukweli ndio huo.
ulaya ilikuwa zamani sio sasa.na wadogo zangu mpaka pesa ya matumizi inatoka bongo.
Tena wapo USA
USA sio kama ya zamani kwa mgeni America dream ni America waste time.pesa utakazopata zinaishia kwenye magalama ya kodi.
Pili waamiaji kutoka africa wamekuwa wengi mwisho wa siku unakuwa cheap kwenye kazi.
ulaya ni karata tatu 1-mavi 2-jokeri 3-kopa..utachagua
Upo Ulaya gani una muda wa kujibizana namna hii?hahahah. Duh. Bas sipo ulaya dada. .. nahis una internal conflicts za roho na maisha.. nashaur uende church wakatoe hyo roho mbaya dada angu . Kama ni mke wa mtu au gf wa mtu bas huyo jamaa ana kaz aisee... Inaelekea kuja ulaya kwako ni kitu kisichowezekana kabisa.. dah. Hahhaha...
Nakuonea huruma sana.
Ila mko weng wa hiv.. kuna mwamba juu hapo nae kakomaa kwelkwel hahaha .
Sorry kama uzi umekuchefua. Hahaha
Watu weng wananishaur hvyo.. ila sasa dah... Mi napenda wazungu . Halaf pia i want a mixed race kwenye family yangu. Nna pressure from home wananambia nipambane nipeleke mzungu. HahahaPambana sana, ila usijichanganye ukaoa mzungu utakoma,, dada zako sie unatuona mwajuma ndala ndefu ila nikwambie ni sie tunawajua kuwahandle nyie wanaume wa kiafrika na tabia zenu,, una vingi vya kujifunza