DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,737
- 81,808
Huyo namjua Ni attention seeker , and Gold digger Lazima atoke 0-0
anawapondea wazungu.fursa apate yeye.bahati mbaya mwana anamuita dada kwaio mishen imebuma.
kuna wengine hata unga wa Kongo umewagomea lakini utakuta mke kamtunzia siri yeye anatamba barabara kumbe hana lolote je kwa wathungu nyeusi anaweza kusema nyeupe kweli? Acha tuwe ndugu mtazamaji na msilikizaji.