Sikudokoa Mboga yako
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 457
- 955
This kind of preparation of scamming people is outdated dude.You better try another idea.
Sie ndo tuna mioyo na nyama ngumu kuvumilia hawa wanaume zetu ila jamii nyingine haziwezi mwishowe wanapeleka ile ego yao na mambo kuwa magumu kinoma, hata maisha kuharibika vibayaNamie nilimwambia usiku, kwa tabia za wanaume wa kiafrika wanazijua wanawake wa kiafrika, mwanamke wakiafrica kukopi kwa mmewe mthungu haina shida, sasa kina mwita mmm sijui kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kuja Pm mkuu? Kuna maelekezo unipe, mimi nitaingia kwa ajili ya kusoma na nikimaliza nageuka lakini sitakaa kizembe huko lazima nitafute pesaFanya hvyo mkuu. Badili mazingira.. njoo angalia fursa nyingne huku... Bongo kukatishana tamaa ni kwing.. unaweza pata depression kijana mdogo. Mara tozo. Mara mabehewa feki.. mara.. watu wazur hawafi.. hahah
Wakati wakunyonyolewa utakuwa mwenyewe lakini hata wazungu wanatofautiana bwana, kila raheri acha sie tupambane na hawa wazee wa tozoWatu weng wananishaur hvyo.. ila sasa dah... Mi napenda wazungu . Halaf pia i want a mixed race kwenye family yangu. Nna pressure from home wananambia nipambane nipeleke mzungu. Hahaha
Ila hili jambo mkuu sikushauriNtapambana sana.. culture yao najua ni tofaut... But. It is what it is... Lazima niweke chata za kizungu... Point 5 za kutosha
Le mutuz aliyechangamka.....bwahahahah...You sound like Lemutuz hahaaaaha sio kwa ubaya ila
Google mkuu.. simpo..Yani nimefatilia majibu yako katika uzi huu huna tofauti na sisi tuliobaki hapa Tz na unaonekana una chembechembe za usukuma au uhaya.Nilidhani umeleta Uzi ili ufundishe na kuwabadilisha watu but ni kama ulioleta kutusimanga.
Sasa rational being unaulizwa upo Nchi gani unafanya siri-what for-huku unatumia ID fake???,unaulizwa tueleze kiasi cha pesa ambacho MTU anapaswa kuwa nacho bank angalau awe considered kupewa visa hutaji.Mambo mengi unaulizwa unajibu bla bla tu.
Yeah, ukienda kule ukawa bize na vibarua huku unatuma vipesa hivyo kidogo bongo ni vingi sanaUmeona eee inategemea walienda kufanya nini na kwanjia zipi na malengo yapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda yupo QatarHahaha niko holiday dada .. au umesahau juz ilikua xmass.... Wew uko wap kwan. Hahah... Hatar
Mbona hapaingilikiNjoo tu
Na kuwaacha hawawezi pole yao[emoji28][emoji28][emoji28]Kaka zako wengi waliooa hao watu wanalia na kujuta sana, rudi home oa kwenu utanikumbuka
Sitoi white kwa hypocrites.. nmefungua uzi na i expected +ve pipo.. ila imekua tofaut.. so nmegundua the people i m dealing with.. so ukija kiungwana utajibiwa vzur.. ukija kinafki utajibiwa kinafki... PeriodYani nimefatilia majibu yako katika uzi huu huna tofauti na sisi tuliobaki hapa Tz na unaonekana una chembechembe za usukuma au uhaya.Nilidhani umeleta Uzi ili ufundishe na kuwabadilisha watu but ni kama ulioleta kutusimanga.
Sasa rational being unaulizwa upo Nchi gani unafanya siri-what for-huku unatumia ID fake???,unaulizwa tueleze kiasi cha pesa ambacho MTU anapaswa kuwa nacho bank angalau awe considered kupewa visa hutaji.Mambo mengi unaulizwa unajibu bla bla tu.
Hongera sana. Nchi ya Ulaya halafu inatumia balozi zetu zilizopo nchini kupata visa? Unamaanisha nini?Folen kaka... US na canada folen ni kubwa mnoooo... Processing inakua kazi sana ndomana unakuta znachelewa... Pia kupata apointment ni ishu sabab ya uwing wa watu wanaofanya application kila kukicha... Pia kumbuka kuna baadh ya nchi pia znatumia baloz zetu zilizoko hapa bongo so folen ndo inazid kuwa kubwa. Watu wa kongo.. nadhan burund pia etc.. wanatumia baloz zilizopo bongo kwenda huko majuu so ishu ni folen. Na pia hao jamaa US na canada huwa wanafatilia sana ndomana unakuta znachukua muda.
Kuna mtu nilikuwa namjibu nazani nimekosea kum quote, passport lazima hiyo ipo siku hizi kama card ya NIDA lazima niwe nayoPassport muhimu kiongoz... Fanya uwe nayo.. huwez jua ya mbele.
Ni wanateseka sawasawa
Uchawi mwingi sana, kuna Mama mmoja alikuja kwa mbwembwe salimia ndugu siku yakuondoka katenguka kiuno safari nikaishia hapo alikaaa kitandani miaka 2 [emoji29][emoji29]Ndo maana wakienda huko hawatoi abc za kufika huko, wabongo nuksi hatufai