Mrejesho uzi wa kujilipua

Mrejesho uzi wa kujilipua

wee dada sijawshi kukuona ukichangia.ila ulinyoona uzi mtu yupo majuu umekuja kasi Sana nakuchoratu.unavyo ponda wazungu eti sio wavumilivu wee mvumilivu umeolewa sasa?
Hahaha Anatania kaka .. usimzingue dada angu
 
🤣🤣🤣🤣wee dada sijawshi kukuona ukichangia.ila ulinyoona uzi mtu yupo majuu umekuja kasi Sana nakuchoratu.unavyo ponda wazungu 🤣 eti sio wavumilivu wee mvumilivu umeolewa sasa?
Lord-N hebu nisaidie hapa,, 😅😅😅 nina post 16955 kwenye ubao wa hii ID na ninazo mbili,, utakuwa umekuja juzi humu,,

Halafu hata hivyo cha kumpa ninacho wewe je!!
 
Mbona wapo waafrika weupe peee,hao watu hawawataki ila basi mnalazimisha,
Hapa ndo huwa nashangaa, na sio kwako tu...
Kwa karibia watu weusi wote duniani.

Mwanaume mweusi akioa au hata kudate tu mzungu watu wanamind na kumpondea, ooh ameolewa, ameuza utu, mara amepotea, nk.

Lakini mwanamke mweusi akiolewa na mzungu haina shida

Mambo ya racism yamepitwa na wakati. Marry who you want
 
Hapa ndo huwa nashangaa, na sio kwako tu...
Kwa karibia watu weusi wote duniani.

Mwanaume mweusi akioa au hata kudate tu mzungu watu wanamind na kumpondea, ooh ameolewa, ameuza utu, mara amepotea, nk.

Lakini mwanamke mweusi akiolewa na mzungu haina shida

Mambo ya racism yamepitwa na wakati. Marry who you want
Sijamzuia nimemshauri kutokana na mifano niliyonayo mingi haifurahishi,,, mwanamke na mwanaume ni tofauti kabisa katika hii ishu
 
Lord-N hebu nisaidie hapa,, 😅😅😅 nina post 16955 kwenye ubao wa hii ID na ninazo mbili,, utakuwa umekuja juzi humu,,

Halafu hata hivyo cha kumpa ninacho wewe je!!
aaa🤣🤣labda unitajie I'd yako nyingine. halafu onyesha heshima acha luga chafu utakosa bahati yakupanda mwewe.
 
Mademu wa kibongo hawafai msimshauri Matatizo watu wengi wamebury dreams , kisa wanawake wakibongo
Wanaroga
Tamaa za Mali
Ombaomba nk. So hawafai
Yaani niwabaya kiasi hicho jamani, kumbuka una dada zako mfano akipata kama huyo mwenzenu utamshauri aachane na wanawake wa kibongo? Sio vizuri jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komaa kaka... Hyo nchi uchawa unalipa.. sis wengne tulishindwa hilo ndomana tukasepa. Haiwezekan tokea darasaa la kwanza naongoza class tumefika had mavyuo vikuu halaf machawa ndio wanatukimbiza. Ukisifia tu unapewa shavu. Sie wengne hayo maisha tumeyashindwa. Hahaha... Tumewaachia wanaoyaweza wenye nchi yao
😂😂😂😂 hii hoja ni kama kichekesho ila ukija kwenye uhalisia ndio ukweli
 
Wanaume wetu tunawamudu sie tu watukatae lakini ndo hivyo,, wanavyopenda ngono je!! Mzungu gani wa kuhimili hivyo vit..mb... vyao vya kutwa mara tatu na mengine mengi
Ha ha ha ha eti vi..mb...,kuna wengine hata unga wa Kongo umewagomea lakini utakuta mke kamtunzia siri yeye anatamba barabara kumbe hana lolote je kwa wathungu nyeusi anaweza kusema nyeupe kweli? Acha tuwe ndugu mtazamaji na msilikizaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom