Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
- Thread starter
- #121
Whatever tu ila ntacheza part2 wait N seeUnataka ukamzibe kwenye kinyuriro aishie kukojoa tu?
Whatever tu ila ntacheza part2 wait N seeUnataka ukamzibe kwenye kinyuriro aishie kukojoa tu?
Pole sana, maumivu ya kutendwa huwa yanauma sana
...uweke hadharani huo ujinga aliokufanyia ili tukuunge mkono....!Swala sio kuachwa mkuu kwan sio mara ya kwanza
Ila huu ujinga alonfanyia huyu dada nataman iwe fundisho
Kanchezea akili kaka heri angeondoka bila kuniingiza costs za makusudTake it easy my friend! Kwani alizaliwa kwa ajili yako huyu?
Msamehe na usahau.
Hata yeye huko aliko hana amani!
...uweke hadharani huo ujinga aliokufanyia ili tukuunge mkono....!
Nina uhakika nekumannjeharikaa..mwana ni kirundu huu
mmh..mwana ni kirundu weNina uhakika nekumannje
Habari wakuu
Jana nilileta story yangu hapa juu ya usaliti mkubwa nlofanyiwa na mwanamke nlokua natarajia awe mke wangu siku za usoni na nikahaidi kumuachia Mungu maana yeye ndo hakimu wa kweli
Lakini niwe mkweli roho yangu inaniuma sana, nashindwa hata kuvumilia na kupotezea hii issue na nimedhamilia kufanya hili
Wakati bado mapenzi moto moto nilifululiza karibu mwezi mzima kila akija kwangu na tukamaliza sex nampa chupi mpya ile alokuja nayo namwambia aiache, so hapa nna nguo zake za ndani kadhaa
Nataka nitafute mtaalam mzuri kupitia hizi nguo za ndani nilipe kisasi maana nackia ni vyepesi zaidi kuliko labda nkisema nimsake niwafanyie
Asanteni wote mlojitokeza kunipa moyo ila acha nijaribu part2[emoji30]
Cc: joanah Demiss
Jonah Hex.
Pole Mkuu.Tatizo lako niI la saikolojia Mtafute msaikolojia akusaidieCjawahi mkosea mtu kwa kiwango hiki mkuu
kanionea sana
Awww!! that sad.... [emoji45][emoji17]Nimeshindwa kabisa, i cant hold this pains[emoji24][emoji24]
Mdogo wangu, ninesoma ule uzi wako wa kwanza nimegundua yale mambo ya 6x6 ulikuwa huyawezi ndiyo maana binti akawa anapigwa ugwadu na kaendesha bodaboda na ameamua kwenda kuishi nako kwa sababu huwa kanampandisha Mount Kilimanjaro! Jitafakari sana mkuu!Whatever tu ila ntacheza part2 wait N see
Hakika!....na usishangae siku akarudi mwenyewe!
Daima Mungu ni Mwema Ukimtegrmea...[emoji120]
nakuja mwakani mkuu....saizi ngoja nimalize kaziNakwambia hivi njoo kwangu unioe mahaba motomoto mpaka aone wivu aumiee
Hayawezi kaka trust me,nna moyo wa jiwe ila hapa nimekwama
Aiseeeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ukienda kwa mganga nenda kwa ishu muhimu,,sio kumroga demu kakuacha..huez jua umeepuka vingapi..ukitaka umkomeshe fanya hivi.....andaa tangazo kua wewe ni mganga unatibu magonjwa,unatoa hela za majini,unaongeza nguvu za kiume,unasaidia wasioolewa,unasaidia kupandisha watu vyeo.unasafisha nyota,,n.k.HALAFU UNAEKA NAMBA ZA UYO DEMU WAKO CHINI YA TANGAZO..uone atasumbuka mpaka akome