Mrejesho: Simuachii Mungu, nalipa kisasi

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,741
Reaction score
3,316
Habari wakuu

Jana nilileta story yangu hapa juu ya usaliti mkubwa nlofanyiwa na mwanamke nlokua natarajia awe mke wangu siku za usoni na nikahaidi kumuachia Mungu maana yeye ndo hakimu wa kweli

Lakini niwe mkweli roho yangu inaniuma sana, nashindwa hata kuvumilia na kupotezea hii issue na nimedhamilia kufanya hili

Wakati bado mapenzi moto moto nilifululiza karibu mwezi mzima kila akija kwangu na tukamaliza sex nampa chupi mpya ile alokuja nayo namwambia aiache, so hapa nna nguo zake za ndani kadhaa

Nataka nitafute mtaalam mzuri kupitia hizi nguo za ndani nilipe kisasi maana nackia ni vyepesi zaidi kuliko labda nkisema nimsake niwafanyie

Asanteni wote mlojitokeza kunipa moyo ila acha nijaribu part2[emoji30]
Cc: joanah Demiss

Jonah Hex.
 
shetani huyo..hakika atakua zezeta au chizi au mwehu vyovyote utakavyo ila niamini HATOTESEKA YEYE PEKE AKE ila MTATESEKA PAMOJA mzeee unajipa adhabu ambayo utatamani itoke na hutoweza na kusihi achana nae fanya yako.

Atakapo kua zezeta au mwehu halafu njia nzima akitembea anaita jina lako au kla siku anakuja kwako kulala mlangoni ndio utapoelewa maana ya ninachokwambia.

Ushirikina hauna guaranteee unaweza loga hiki kule kombora likaenda lingine...Halafu umefkiria nini aseee?! Pumzika ebu.
 
ukienda kwa mganga nenda kwa ishu muhimu,,sio kumroga demu kakuacha..huez jua umeepuka vingapi..ukitaka umkomeshe fanya hivi.....andaa tangazo kua wewe ni mganga unatibu magonjwa,unatoa hela za majini,unaongeza nguvu za kiume,unasaidia wasioolewa,unasaidia kupandisha watu vyeo.unasafisha nyota,,n.k.HALAFU UNAEKA NAMBA ZA UYO DEMU WAKO CHINI YA TANGAZO..uone atasumbuka mpaka akome
 
Kabadili na namba kaka ile alokua anatumia haipo hewani kama wiki sasa
 
shetani huyo..hakika atakua zezeta au chizi au mwehu vyovyote utakavyo ila niamini HATOTESEKA YEYE PEKE AKE ila MTATESEKA PAMOJA mzeee unajipa adhabu ambayo utatamani itoke na hutoweza na kusihi achana nae fanya yako.

Atakapo kua zezeta au mwehu halafu njia nzima akitembea anaita jina lako au kla siku anakuja kwako kulala mlangoni ndio utapoelewa maana ya ninachokwambia.

Ushirikina hauna guaranteee unaweza loga hiki kule kombora likaenda lingine...Halafu umefkiria nini aseee?! Pumzika ebu.
Sina Amani kabisa kaka,moyo umejaa,tumbo limechafuka
 
Habari wakuu

Jana nilileta story yangu hapa juu ya usaliti mkubwa nlofanyiwa na mwanamke nlokua natarajia awe mke wangu siku za usoni na nikahaidi kumuachia Mungu maana yeye ndo hakimu wa kweli

Lakini niwe mkweli roho yangu inaniuma sana, nashindwa hata kuvumilia na kupotezea hii issue na nimedhamilia kufanya hili

Wakati bado mapenzi moto moto nilifululiza karibu mwezi mzima kila akija kwangu na tukamaliza sex nampa chupi mpya ile alokuja nayo namwambia aiache, so hapa nna nguo zake za ndani kadhaa

Nataka nitafute mtaalam mzuri kupitia hizi nguo za ndani nilipe kisasi maana nackia ni vyepesi zaidi kuliko labda nkisema nimsake niwafanyie

Asanteni wote mlojitokeza kunipa moyo ila acha nijaribu part2[emoji30]
Cc: joanah Demiss

Jonah Hex.
Jamani kipindi cha ''old stone age'' kulikuwa na computer? Mbona hii thread maudhui yake ni kama ilianzishwa kipindi hicho? Sitaki kuamini kuwa karne hii tuliyo nayo kuna binadamu anayedhani anaweza kumdhuru mwingine kwa kupeleka nguo zake za ndani kwa mganga.
 
Ntajaribu ikishindikana basi ila atleast nimefanya kitu cha kunipa relief kwa hivi nnavohic
Jamani kipindi cha ''old stone age'' kulikuwa na computer? Mbona hii thread maudhui yake ni kama ilianzishwa kipindi hicho? Sitaki kuamini kuwa karne hii tuliyo nayo kuna binadamu anayedhani anaweza kumdhuru mwingine kwa kupeleka nguo zake za ndani kwa mganga.
 
Huyo jamaa Aliwahi kuleta uzi humu mwaka 2017... uzi huo ulikuwa una mtahadharisha Hakimu 1 hivi Aliye kuwa anafanya kazi ilala daresalam. ..

Alikuwa ana muonya Aache Dhulma la sivyo ata mroga '... Baada ya week 2 Hakimu akafariki kweli
Ngoja nimtafute kwa kwel
yan nna hasira za kufa kbsa siwezi vumilia
labda kingekua na sehemu ya kujiflash but sio hivi nnavohic now mkuu
 
Watu dhaifu siku zote wanaona wao wamekamilika anza kujichunguza leo je ni wangapi umewakosea? na wote waende kwa waganga wakuloge
Cjawahi mkosea mtu kwa kiwango hiki mkuu
kanionea sana
 
Back
Top Bottom