Pole sana kijanaNgoja nimtafute kwa kwel
yan nna hasira za kufa kbsa siwezi vumilia
labda kingekua na sehemu ya kujiflash but sio hivi nnavohic now mkuu
tafta namba yake man...iyo ndo staili ya kitabe,,acha kumrogaKabadili na namba kaka ile alokua anatumia haipo hewani kama wiki sasa
pole ila kukosea ni kukosea tuCjawahi mkosea mtu kwa kiwango hiki mkuu
kanionea sana
Jamani kipindi cha ''old stone age'' kulikuwa na computer? Mbona hii thread maudhui yake ni kama ilianzishwa kipindi hicho? Sitaki kuamini kuwa karne hii tuliyo nayo kuna binadamu anayedhani anaweza kumdhuru mwingine kwa kupeleka nguo zake za ndani kwa mganga.
Hii sio kwamba itamuuaMpeleke mwezini mwaka mzima (joke)
kizazi cha pendulum bob,cozwork na sup mna matatizo sana upstairsJamani kipindi cha ''old stone age'' kulikuwa na computer? Mbona hii thread maudhui yake ni kama ilianzishwa kipindi hicho? Sitaki kuamini kuwa karne hii tuliyo nayo kuna binadamu anayedhani anaweza kumdhuru mwingine kwa kupeleka nguo zake za ndani kwa mganga.
Nani alikuambia akienda mwezini anakufa?hapo unakua umemkomoa jamaa hagegedi kwa raha ha ha nimetania tu usije ukafanya tukagawana dhambiHii sio kwamba itamuua
me nsingependa afe nataka kitu cha kumfanya abaki hai ila asiwe na Amani
harikaa..mwana ni kirundu huuMpeleke mwezini mwaka mzima (joke)
Cheka sana ilaAisee
Punguza utoto basi
AiseeMpeleke mwezini mwaka mzima (joke)
Swala sio kuachwa mkuu kwan sio mara ya kwanzaKijana acha mambo ya kiduanzwi.
Tupa na futa kila kitu kinacho kukumbusha yeye.
Fanya mazoezi au kazi ngumu au muda wote utachoka mwili na kukosa muda wa kumfikiria mpenzi ulie korofishana nae.
Baada ya muda mrefu kidogo utaanza kukubaliana na kilicho tokea utamsamehe na kumsahau.
Kwa sasa usiangalie movie au series za mapenzi.
Ukiweza tafuta mrembo mwingine huku ukiamini huyo ni binadamu tu anaweza kukusaliti muda wowote. Ikitokea hivyo hutauumia sana inakuwa ulijiandaa kisaikolojia.
Kma hafi poa2Nani alikuambia akienda mwezini anakufa?hapo unakua umemkomoa jamaa hagegedi kwa raha ha ha nimetania tu usije ukafanya tukagawana dhambi
Dadangu nakuheshimu sana unajuaKabla hujalipa kisasi soma warumi 12:19
Acha kuchuma unneccesary dhambi...muachie mwenye mamlaka ya visasi
Usijiweke na moyo mgumu Jonah Hex