Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,454
- 25,168
Haifundishi kurogana weee usituchafulie dini tena uache Balaa lako.... Ulipe kisasi kwenye uzinzi umechanganyikiwa weweNever giveup...
Dini yangu ya kiislamu inanifundisha kulipa kisasi ni haki.
Ukijisikia kusamehe Mungu anakupenda zaidi..