Mrejesho: Simuachii Mungu, nalipa kisasi

Mrejesho: Simuachii Mungu, nalipa kisasi

katika wanaume maboya wewe unaongoza yaani mwanamke amekufanyia unyama hivyo mpaka sasa hivi bado yuko hai? ingekuwa ni mimi huyo mwanamke angekuwa kaburini sasa hivi ameshaoza siku nyingi, lipa kisasi wewe acha ujinga nitafute nikupeleke kwa mtaalam amshughulikie





Mkuu, acha kumpotosha mwenzio. Wewe ni Muislamu safi na unajuwa madhara ya shirki.


Screenshot_20190627-112710_Chrome.jpg

Screenshot_20190627-112731_Chrome.jpg

Screenshot_20190627-112825_Chrome.jpg
 
Mkuu hii siyo akili ya mwanaume... Acha ujinga hum, move on... Sasa ukifanya hivyo ili iwaje?

Usijelazimisha awe wako utajuta... Mlikuwa na muda mzuri, mmefanya lote basi endelea na Maisha yak... Usithubutu ujinga huo unaoufikiria.

Swadaqta 👍
 
Habari wakuu

Jana nilileta story yangu hapa juu ya usaliti mkubwa nlofanyiwa na mwanamke nlokua natarajia awe mke wangu siku za usoni na nikahaidi kumuachia Mungu maana yeye ndo hakimu wa kweli

Lakini niwe mkweli roho yangu inaniuma sana, nashindwa hata kuvumilia na kupotezea hii issue na nimedhamilia kufanya hili

Wakati bado mapenzi moto moto nilifululiza karibu mwezi mzima kila akija kwangu na tukamaliza sex nampa chupi mpya ile alokuja nayo namwambia aiache, so hapa nna nguo zake za ndani kadhaa

Nataka nitafute mtaalam mzuri kupitia hizi nguo za ndani nilipe kisasi maana nackia ni vyepesi zaidi kuliko labda nkisema nimsake niwafanyie

Asanteni wote mlojitokeza kunipa moyo ila acha nijaribu part2[emoji30]
Cc: joanah Demiss

Jonah Hex.

Mambo ya mapenzi hayalazimishwi. Achana na asiye kupenda ili uishi kwa amani.
Kuroga kumemsaidia nani toka watu waanze kurogana?
 
Habari wakuu

Jana nilileta story yangu hapa juu ya usaliti mkubwa nlofanyiwa na mwanamke nlokua natarajia awe mke wangu siku za usoni na nikahaidi kumuachia Mungu maana yeye ndo hakimu wa kweli

Lakini niwe mkweli roho yangu inaniuma sana, nashindwa hata kuvumilia na kupotezea hii issue na nimedhamilia kufanya hili

Wakati bado mapenzi moto moto nilifululiza karibu mwezi mzima kila akija kwangu na tukamaliza sex nampa chupi mpya ile alokuja nayo namwambia aiache, so hapa nna nguo zake za ndani kadhaa

Nataka nitafute mtaalam mzuri kupitia hizi nguo za ndani nilipe kisasi maana nackia ni vyepesi zaidi kuliko labda nkisema nimsake niwafanyie

Asanteni wote mlojitokeza kunipa moyo ila acha nijaribu part2[emoji30]
Cc: joanah Demiss

Jonah Hex.
Kisasi gani unalipa?
 
Dadangu nakuheshimu sana unajua

Ila kakako ntakufa siku sio nyingi,Nimekaa sana kwenye imani namjua Mungu
Ila nmeonewa sana,acha niitafute furaha ilipo[emoji22][emoji24][emoji24][emoji30]
Kakufanya kitu gani mimi mgeni humu?
 
Asante sana mkuu lakini mimi kwa waganga ni big NO! Kama ni dawa za miti shamba bila ramli na kuagua sawa!

Hayo ni maamuzi pia Mkuu sipingi chochote, lakini, hayamfanyi asiyefanya kama wewe kuwa ni mpotofu zaidi.
Ni kama kutoa mimba, sikuwahi kufikiria kwamba ninaweza toa mimba ya binti yeyote, lakn ukiwa kwenye engo ya miaka 30 jela utaenda kuitoa fasta tena kwa gharama yyte. Ni kuomba Mungu tuu akuepushie balaa
 
Wewe kijana ACHA KABISA HIZO HASIRA ZAKO. ACHA !! Unajitesa bure mwisho utapata vidonda vya tumbo. Usimfanyie lolote. Kama alikuwa amepata ajali akafa kama yule bibi arusi mtarajiwa wa Mbeya ungefanyaje? Ungejiua? No girl friend is worth so much of your feelings. Hakuna rafiki wa kike yeyote anayestahili akuumize nafsi kiasi hicho. Kama ni wasichana wako kibao- hata humu Jf wapo wengi tu hawana mtu. Sasa wewe unajifanya unataka kulipa kisasi ili iweje? Wewe unataka kusema hujawahi kumfanyia mtu mwingine ubaya? Kama kila uliyemfanyia ubaya angekulipa kisasi ungewepo hapo ulipo leo? Kama unataka kumkomoa, kwa kuwa nguo zake hizo unazo, fanya ifuatavyo (kumtisha tu lakini). Tafuta rafiki yako mmoja ili afanye ku-act kama yeye ni mganga. Then tafuta kibuyu, na kitambaa cheusi na kingine cheupe (au hata bedsheet jeupe), huyo mwenzako (mganga feki) ajifunge. Ashike hicho kibuyu azunguke hizo nguo za huyo dada akisema maneno ya kiganga-kiganga, na hapo hapo achome hizo nguo. Hakikisha unapiga video ya tukio zima halafu umtumie huyo dada. Mwambie kwa jinsi alivyokutesa umemwendea kwa mganga. Kila litakalompata atafikiri ni wewe kumbe hujamfanyia lolote mbali na kuchoma hizo nguo zake. Hawezi kujua kwamba ume-act tu. Akikuomba radhi msamehe
Duuh samehe tu ndugu kuna vitu vinauma sana ila vinapita....
Huo ushauri wewe unatania kumtisha, ila yeye anaenda kweli utaumia ndugu.(unabip halafu mwenzio anapiga)
 
A
Hapana kaka sio kwamba siwezi pata mwingine

Ila huyu fala kanioneshea dharau sana heri angesepa kimya kimya
Achana nae ndivyo walivyo hiyo ni njia yao yakujitetea uonekane hukumfaa. Baada ya muda utakuwa sawa ni maumivu tu hayo yanakusumbua,jichanganye na watu usipende kuwa peke yako....
Mungu akubariki hilo wazo la kisasi likutoke!
 
Karma is a bitch, just make sure that bitch is beautiful.
 
Piga chin mkuu, achana na wapuuzi.

Iko ivi, Daudi alipomuona mke wa mtu anaoga.....akamtaman..----Dambi namba 1.

Kisha akatuma watu kumchukua kwa nguvu....Dhamb ya 2

Kisha akalala naye nakumpa ujauzito...dhambi 3

Kisha akamuua mume wa huyo mwanamke....dhambi ya 4


Kwa ufupi, UTAJIKUTA UNAUA KISA MWANAMKE .

ACHANA NA MSHENZI!!!.
 
Naunga mkono hoja kamroge tu ila for three months inatosha halafu mfungulie
 
Kwa uliyoandika hapo mwishoni.. fahamu kwamba shetani amekutawala kwa sababu ya kuendelea kukaa na hayo moyoni mwako.. na umefuta ombi lako kwa Mola.
 
T
Mkuu hujui Mungu amekuepusha na nini ktk maisha yako ya baadae ila kwakuwa hujui basi utahangaika sana. Hiki nakwambia kama ameweza kukutendea haya kwa wakati huu mbichi je angefika ndani ingekuwaje?
Kumbuka matukio machache ya abiria wanaoachwa na vyombo vya usafiri walivyokusudia kuvipanda wanavyojilaumugi ila kwa bahati mbaya vyombo hivyo vikipata ajali watu walewale humshukuru sana Mungu kwa kuwaepushia ajali.
Tena dada mwenyewe kasisitiza watumie condom unajua kwanini aliamua hivyo?kama unawaza aliogopa mimba unaweza kuwa unajidanganya mtu kama huyo ana njia za kuepuka mimba zaidi ya condom.
Shukuru Mungu kuna kitu amekuepushia. Mwache aende hivyo vitu visikuume utapata vingine zaidi ya hivyo!
 
shetani huyo..hakika atakua zezeta au chizi au mwehu vyovyote utakavyo ila niamini HATOTESEKA YEYE PEKE AKE ila MTATESEKA PAMOJA mzeee unajipa adhabu ambayo utatamani itoke na hutoweza na kusihi achana nae fanya yako.

Atakapo kua zezeta au mwehu halafu njia nzima akitembea anaita jina lako au kla siku anakuja kwako kulala mlangoni ndio utapoelewa maana ya ninachokwambia.

Ushirikina hauna guaranteee unaweza loga hiki kule kombora likaenda lingine...Halafu umefkiria nini aseee?! Pumzika ebu.
Point sana hii
 
Back
Top Bottom