Mrejesho: Simuachii Mungu, nalipa kisasi

Mrejesho: Simuachii Mungu, nalipa kisasi

Hii sio kwamba itamuua
me nsingependa afe nataka kitu cha kumfanya abaki hai ila asiwe na Amani
Jonah,achana na hayo mambo,wewe ni mwanaume,jikaze mpotezee,tulia kidogo,fanya sala kwa bidii,tafuta vitu vitakavyokuondolea mawazo,baada ya muda utakaa vizuri na maisha yatasonga mbele,je ni yeye pekee dunia hii aliye mzuri???? Ni jambo la muda tuuu,mwisho usifanye kitu ambacho kesho na kesho kutwa utakijutia,achana naye
 
mkuu acha kabisa hiyo makitu, nimachungu ya mda tu yatapita.jaribu kumsahau na tafta mwingine.usijaribu kumuukumu kwa kwenda kumloga.
Hayawezi kaka trust me,nna moyo wa jiwe ila hapa nimekwama
 
Jonah,achana na hayo mambo,wewe ni mwanaume,jikaze mpotezee,tulia kidogo,fanya sala kwa bidii,tafuta vitu vitakavyokuondolea mawazo,baada ya muda utakaa vizuri na maisha yatasonga mbele,je ni yeye pekee dunia hii aliye mzuri???? Ni jambo la muda tuuu,mwisho usifanye kitu ambacho kesho na kesho kutwa utakijutia,achana naye
Nna roho nzuri sana ya upendo uliopitiliza kwa watu wote sidhan kama nastahili kulipwa haya

Ni heri nife mimi yye abaki au basi angalau nickie tu anateseka
 
Habari wakuu

Jana nilileta story yangu hapa juu ya usaliti mkubwa nlofanyiwa na mwanamke nlokua natarajia awe mke wangu siku za usoni na nikahaidi kumuachia Mungu maana yeye ndo hakimu wa kweli

Lakini niwe mkweli roho yangu inaniuma sana, nashindwa hata kuvumilia na kupotezea hii issue na nimedhamilia kufanya hili

Wakati bado mapenzi moto moto nilifululiza karibu mwezi mzima kila akija kwangu na tukamaliza sex nampa chupi mpya ile alokuja nayo namwambia aiache, so hapa nna nguo zake za ndani kadhaa

Nataka nitafute mtaalam mzuri kupitia hizi nguo za ndani nilipe kisasi maana nackia ni vyepesi zaidi kuliko labda nkisema nimsake niwafanyie

Asanteni wote mlojitokeza kunipa moyo ila acha nijaribu part2[emoji30]
Cc: joanah Demiss

Jonah Hex.

Usirudie kumtag joanah kwenye issue zako za kulipiza kisasi.
 
Nna roho nzuri sana ya upendo uliopitiliza kwa watu wote sidhan kama nastahili kulipwa haya

Ni heri nife mimi yye abaki au basi angalau nickie tu anateseka
[/Qpamoja na yote mkuu,kuna usemi unasema,time will tell,hebu jaribu kwa uwezo wako wote usifanye chochote kumhusu huyo mwanamke,baada ya muda utakuwa sawa.
 
Back
Top Bottom