Mrejesho: Simuachii Mungu, nalipa kisasi

Nadhani unamjua jonah hex ojii alivyokuwa kidume nawee kuwa km mwanaume!mbona sisi wanawake waliondoka na tukatulia tuu!au unajua huwez kupata wengine
Hapana kaka sio kwamba siwezi pata mwingine

Ila huyu fala kanioneshea dharau sana heri angesepa kimya kimya
 
Kwani we wa kwanza kuachwa? Mbona kama umepanic sana hutaki kuacha maisha mengine yaendelee! Mara zote mnaambiwa honga kile ambacho unaona hata mkiachana hakuna shida htaumia roho, honga faida na sio mtaji bee!
 
Habari wakuu

Jana nilileta story yangu hapa juu ya usaliti mkubwa nlofanyiwa na mwanamke nlokua natarajia awe mke wangu siku za usoni na nikahaidi kumuachia Mungu maana yeye ndo hakimu wa kweli

Lakini niwe mkweli roho yangu inaniuma sana, nashindwa hata kuvumilia na kupotezea hii issue na nimedhamilia kufanya hili

Wakati bado mapenzi moto moto nilifululiza karibu mwezi mzima kila akija kwangu na tukamaliza sex nampa chupi mpya ile alokuja nayo namwambia aiache, so hapa nna nguo zake za ndani kadhaa

Nataka nitafute mtaalam mzuri kupitia hizi nguo za ndani nilipe kisasi maana nackia ni vyepesi zaidi kuliko labda nkisema nimsake niwafanyie

Asanteni wote mlojitokeza kunipa moyo ila acha nijaribu part2[emoji30]
Cc: joanah Demiss

Jonah Hex.

Hapo tayari umeshaingia kwenye shirki, jambo ambo Allah halipendi. Kwanini usimuachie Allah!! Hujui kuwa ukifanya hivyo utakuwa umemuudhi muumba wako!! Kuwa makini sana, hii dunia bwana
 
ukienda kwa mganga nenda kwa ishu muhimu,,sio kumroga demu kakuacha..huez jua umeepuka vingapi..ukitaka umkomeshe fanya hivi.....andaa tangazo kua wewe ni mganga unatibu magonjwa,unatoa hela za majini,unaongeza nguvu za kiume,unasaidia wasioolewa,unasaidia kupandisha watu vyeo.unasafisha nyota,,n.k.HALAFU UNAEKA NAMBA ZA UYO DEMU WAKO CHINI YA TANGAZO..uone atasumbuka mpaka akome

Duhh,hii inaitwa Vita Baridi[emoji3]
 
Du Hii nayo kali
 
Never giveup...
Dini yangu ya kiislamu inanifundisha kulipa kisasi ni haki.

Ukijisikia kusamehe Mungu anakupenda zaidi..
Habari wakuu

Jana nilileta story yangu hapa juu ya usaliti mkubwa nlofanyiwa na mwanamke nlokua natarajia awe mke wangu siku za usoni na nikahaidi kumuachia Mungu maana yeye ndo hakimu wa kweli

Lakini niwe mkweli roho yangu inaniuma sana, nashindwa hata kuvumilia na kupotezea hii issue na nimedhamilia kufanya hili

Wakati bado mapenzi moto moto nilifululiza karibu mwezi mzima kila akija kwangu na tukamaliza sex nampa chupi mpya ile alokuja nayo namwambia aiache, so hapa nna nguo zake za ndani kadhaa

Nataka nitafute mtaalam mzuri kupitia hizi nguo za ndani nilipe kisasi maana nackia ni vyepesi zaidi kuliko labda nkisema nimsake niwafanyie

Asanteni wote mlojitokeza kunipa moyo ila acha nijaribu part2[emoji30]
Cc: joanah Demiss

Jonah Hex.
 
Hii imetulia!!
ukienda kwa mganga nenda kwa ishu muhimu,,sio kumroga demu kakuacha..huez jua umeepuka vingapi..ukitaka umkomeshe fanya hivi.....andaa tangazo kua wewe ni mganga unatibu magonjwa,unatoa hela za majini,unaongeza nguvu za kiume,unasaidia wasioolewa,unasaidia kupandisha watu vyeo.unasafisha nyota,,n.k.HALAFU UNAEKA NAMBA ZA UYO DEMU WAKO CHINI YA TANGAZO..uone atasumbuka mpaka akome
!
 
Acha ujinga na utoto hapa unapo niona nasaka pesa nimpe mpenzi wangu vyangu vinapotea na akini saliti poa cha muhimu napata papuchi pumbavu
 
Habari wakuu

Jana nilileta story yangu hapa juu ya usaliti mkubwa nlofanyiwa na mwanamke nlokua natarajia awe mke wangu siku za usoni na nikahaidi kumuachia Mungu maana yeye ndo hakimu wa kweli

Lakini niwe mkweli roho yangu inaniuma sana, nashindwa hata kuvumilia na kupotezea hii issue na nimedhamilia kufanya hili

Wakati bado mapenzi moto moto nilifululiza karibu mwezi mzima kila akija kwangu na tukamaliza sex nampa chupi mpya ile alokuja nayo namwambia aiache, so hapa nna nguo zake za ndani kadhaa

Nataka nitafute mtaalam mzuri kupitia hizi nguo za ndani nilipe kisasi maana nackia ni vyepesi zaidi kuliko labda nkisema nimsake niwafanyie

Asanteni wote mlojitokeza kunipa moyo ila acha nijaribu part2[emoji30]
Cc: joanah Demiss

Jonah Hex.
Tafuta hela acha na hao viumbe utateseka tu
 
Nimeshindwa kabisa, i cant hold this pains[emoji24][emoji24]
Utakuwa lipumbavu wewe! Wanawake woooote hao unateseka kitu gani? Au domo zege wewe nini? Madomo zege yakiachwa huwaga yanateseka siyo kidogo!
 
Back
Top Bottom