Habari ya leo wana Jf,
Kuna kipindi kimepita kidogo niliomba namba ya Recho msani maana nampenda sana na nilijaribu kila njia nikawa nimekwama ila nashukuru humu ndani kuna watu walinipatia namba.
Ila haka kadada ni kagumu kweli yani tumezinguwana nako mpaka nimechoka yani msumbufu msumbufu nimemwaga sera zangu akawa ananiuliza namliki gari la aina gani?
Na nyumba ya aina gani? Na kipato changu kwa mwezi ni million ngapi? Na naweza kumnunulia gari lisilo punguwa million 80 na kuendelea?
Pia hata kama atakuwa na mimi ila nisimbane atakacho jisikia kufanya afanye tuu na lingine hayuko tayari kuolewa na mimi sasa mie yote hayo siyawezi kipato changu cha mwezi hata million mbili sijawahi kufikisha hapo ni plus na mshahara.
Nimejaribu kumdanganya ila mgumu kweli pia mjanja kweli miemini amenishinda kabisa na nimeachanaa naye pia nilikua naomba namba ya Linna msani anipe naye nimtongoze
Naombeni sana mwenye namba ya Linna anisaidie