Mrejesho: MwanaJF aliyeomba mtaji

Hilo ni kweli kabisa Mkuu, lakini unapoweza kujiridhisha huyo anayekuomba msaada hahitaji huo msaada kama anavyodai basi hakuna ubaya kustuka. Maamuzi haya yanatofautiana kati ya mtu na mtu Mkuu. Shukrani sana Mkuu.

 
Hilo ni kweli kabisa Mkuu, lakini unapoweza kujiridhisha huyo anayekuomba msaada hahitaji huo msaada kama anavyodai basi hakuna ubaya kustuka. Maamuzi haya yanatofautiana kati ya mtu na mtu Mkuu. Shukrani sana Mkuu.
Kujiridhisha kabla ya kutoa ni muhimu, lakini ukitoa haina haja ya kufuatilia
 
Mtaje tu hata kwa hiyo ID fake anayoitumia tutamtafuta kwenye posts zake nyingine. Ikiwezekana kama una ushahidi mwaga mboga humu namba yake ya simu asiendelee kutapeli watu.
 
aisee pole sana besti kuwa makini na mitandao wengine huyatumia kutapeli na hata kudhulumu usithubutu kutoa kitu au mali au pesa kumpa mtu usiyemjua ni bora ungefanya kuonana nae ndiopo utoe pesa yako pole sana ila nadhani umejifunza na sisi tumejifunza pia
 
Mtaje tu hata kwa hiyo ID fake anayoitumia tutamtafuta kwenye posts zake nyingine. Ikiwezekana kama una ushahidi mwaga mboga humu namba yake ya simu asiendelee kutapeli watu.
kabisa mkuu bora amtaje kwani itakuwa ni faida kwa wengi humu asijekutapeli wenginie hapa
 
NI UMAKINI UNAHITAJIKA KATIKA HILI.. BINADAMU NI WENGI WAKUOMBA KITU KWA MADHUMUNI FULANI LAKINI UKAKUTA HATA TATIZO HILO.
 
Ati!?
 
Reactions: BAK
Daaahh, mkuu. Kwanza niseme pole kama ni kweli au si kweli isiwe kesi kwani kwa namna moja inaonekana nawe ni mwanafasihi. Hiyo nafasi nineipata mimi kwa kweli ningeeudisha mrahaba wa 120% hata kama sikutakiwa kufanya hivyo kwasababu ya msaada. Ila kusema ukweli usimwamini mtu hata iweje, pengine ni mpaka ungeonana neo na upate details zake za kutosha maana katika kenge mamba hawakosekani.
 
Mkuu, labda lugha ngumu au ni sanaa ya lugha. Sisi tulio masikini tuajiriwe ili tunyonywe daaahhh. Your words are very bitter. Na si kila masikini akiajiriwa atafia katika umasikini wake.
 
Ukiona hivyo ujue...ushapigwa wewe... ndio maana anakuzungusha
Lengo ilikuwa kumsaidia , siyo kuwa share, ama tarajia kurejeshewa hapana. Kama alivyoandika ni sahihi basi tumwelewe.
Yawezekana yule ndugu hakufanya kama alivyokusudia kuomba pesa na ndicho nakiona. Aliomba pesa na yamkini akaelekeza kwenye matumizi mengine tofauti na kusudi aliloombea pesa.
 
Nimeelewa mkuu, hapa bila shaka ni kweli atakuwa na shida ambayo kwa namna moja ama nyingine inamfanya kuchanganyikiwa hii ni kutokana na uhalisia wa maisha pengine anayoishi. Kiufupi mm nikiwa mmoja ya wahitimu wa mwaka huo chuo mojawapo mkoani kilimanjalo katika taaluma ya elimu-sanaa, nimejifunza vingi sana hasa kupitia wenzangu ambao wamemaliza lakn kwa kiasi fulani walikuwa wanategemea ajira kama mm. Hawakuona umuhimu wa kujishughurisha kwasababu tu ajira za ualimu zilikuwa za kuchaguliwa kama wanafunzi. Baada ya utaratibu kubadilika wengi walijikuta wanakata tamaa. Badala ya ama kuchukua hatua ili mazingira yalete matokeo wengine wakaamua kukata tamaa jumla. Kwa huyo dada kuna kitu nimekiona kilichofanya au sababisha ashindwe ama kuanzisha hiyo biashara kwa makusudi au ni nje ya uwezo wake. Kwanza: Hajiamini, hii ni kwasababu kiwangu cha pesa alichosema hapo na mahitaji yake kwa ujumla ilikuwa ngumu kuanzisha kwani mtaji ni kidogo sana afadhari angesema 150tsh. Lkn uamuzi aliochukuwa wa kutaka kuolewa sio sahihi kwani hilo ni tatizo jingine wanaume saizi tunataka mdada ambaye naye amejiongeza na ana kitu/vitu hatuoi mtu awe mzigo bali mchango. Anyway akipata kusoma ujumbe huu aje pm nimcouncel maana wahutimu wa shahada hatutakiwi kufikilia kurahisi hivyo. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…