Mrejesho: MwanaJF aliyeomba mtaji

Mrejesho: MwanaJF aliyeomba mtaji

ndugu uttoh unapo msaidia mtu lazima hujue ethics za watu wew ni wa kaskazin ukampa muha duka unategemea nin mi nadhani kama kuna kazi mpe lakini isihusishe pesa wala kukuingilia katika dili zako
Kwani waha wakoje aiseee?
 
ni watu wenye njaa ya maisha sijawahi ona uyo mkinga akasome kwa muha
kitendo alichofanyiwa uttoh siyo fea ata kidogo apo ataenda ita ndugu zake watafungua biashara mtaa wote na kibaya ni dharau na majivuno na ndumba yao ya biashara ni kali sana sijuh wanaipatia congo ama burundi muha huwa hachemki kwenye biashara
 
wewe jamaa una roho ngumu sana, yaani umpatie mtu hela/mtaji then unamfuatilia... bora ungeenda kuwatembelea wagonjwa au wafungwa ukawapa hiyo hela upate thawabu Mbinguni
 
acha mawazo mgando hao wanaoufadhili tu huwa wanakuja kuhakiki miladi imefikia wap
 
Mtu mwenyewe ni huyu hapa Naombeni msaada please
Aliomba elf 60 tu na wewe umesema umemtumia asilimia 80 ambayo ni kama elf arobaini na... mkuu pole ila hiyo sio pesa ya kukufanya ufuatilie kihivyo hadi kutoa mapovu JF. mpe muda huyo mdau na I hope hela yako itarudi tu inawezekana kutokana na mvua hizi mambo hayajamuendea kama aalivyopanga na anashindwa kuwa mkweli kwako(hapa ndipo anapokosea). Fanya kama umetoa msaada na pia umejifunza kwamba wengi wetu sio waaminifu hata kwenye mambo madogo.
 
Mpeni muda atakuja kushukuru na kutueleza kafikia wapi baada ya kusaidiwa ni uungwana tuu.
 
Mtu mwenyewe ni huyu hapa Naombeni msaada please
Aliomba elf 60 tu na wewe umesema umemtumia asilimia 80 ambayo ni kama elf arobaini na... mkuu pole ila hiyo sio pesa ya kukufanya ufuatilie kihivyo hadi kutoa mapovu JF. mpe muda huyo mdau na I hope hela yako itarudi tu inawezekana kutokana na mvua hizi mambo hayajamuendea kama aalivyopanga na anashindwa kuwa mkweli kwako(hapa ndipo anapokosea). Fanya kama umetoa msaada na pia umejifunza kwamba wengi wetu sio waaminifu hata kwenye mambo madogo.
Kama ni kiasi hicho kweli cha pesa basi kamdhalilisha, kaka yangu unaesema umetapeliwa 40 sio ndogo ni nyingi ila sio ya kufanya ukamfungulia uzi dada wa watu.

Hujui alipata shida au alikutwa na maswahibu gani mpaka akufanya hiyo biashara au akashindwa kuonana na wewe, msamehe na ufanye umetoa sadaka.

Samahani kama ntakua nimekukwaza.
 
siku zote huwa naamini kuwa hakuna anae zaliwa na roho mbaya ila huwa zinapandikizwa tu pole ndugu yangu mambo ya binadamu hayo
 
Kama ni kiasi hicho kweli cha pesa basi kamdhalilisha, kaka yangu unaesema umetapeliwa 40 sio ndogo ni nyingi ila sio ya kufanya ukamfungulia uzi dada wa watu.

Hujui alipata shida au alikutwa na maswahibu gani mpaka akufanya hiyo biashara au akashindwa kuonana na wewe, msamehe na ufanye umetoa sadaka.

Samahani kama ntakua nimekukwaza.
Wakuu, hakuna mahali niliposema nimetapeliwa na mtu kwa sababu sikuwa nimekopesha mtu. Ninachosema ni kwamba lengo langu la kumtafuta huyo mtu, lilikuwa ni ili kujiridhisha kama yuko serious nimuongezee mtaji na sasa awe amepata mtaji wa kutosha ambao ungemuwezesha kutoka alipo. Lakini kinyume chake akaleta dharau na kejeli ambazo kwa kweli sikutarajia. Hilo ndilo jambo lililonishangaza nakunisikitisha.

Naomba nisisitize tena, sikutapeliwa maana sikukopesha mtu, na wala sisikitiki kupoteza hela maana sikwenda kwa ajili ya kurudishiwa.
Cc Islam005
 
Mtu mwenyewe ni huyu hapa Naombeni msaada please
Aliomba elf 60 tu na wewe umesema umemtumia asilimia 80 ambayo ni kama elf arobaini na... mkuu pole ila hiyo sio pesa ya kukufanya ufuatilie kihivyo hadi kutoa mapovu JF. mpe muda huyo mdau na I hope hela yako itarudi tu inawezekana kutokana na mvua hizi mambo hayajamuendea kama aalivyopanga na anashindwa kuwa mkweli kwako(hapa ndipo anapokosea). Fanya kama umetoa msaada na pia umejifunza kwamba wengi wetu sio waaminifu hata kwenye mambo madogo.
Wakuu, hakuna mahali niliposema nimetapeliwa na mtu kwa sababu sikuwa nimekopesha mtu. Ninachosema ni kwamba lengo langu la kumtafuta huyo mtu, lilikuwa ni ili kujiridhisha kama yuko serious nimuongezee mtaji na sasa awe amepata mtaji wa kutosha ambao ungemuwezesha kutoka alipo. Lakini kinyume chake akaleta dharau na kejeli ambazo kwa kweli sikutarajia. Hilo ndilo jambo lililonishangaza nakunisikitisha.

Naomba nisisitize tena, sikutapeliwa maana sikukopesha mtu, na wala sisikitiki kupoteza hela maana sikwenda kwa ajili ya kurudishiwa.

Na hoja ya hela ilikuwa ni kidogo au nyingi, hiyo si hoja ya msingi ya kumfanya mtu ajibehave hivyo.

Ni sawa na mtu anakuja anakukopa 2000 kwa hoja kuwa kakwama kabisa hana namna, unampatia kwa makubaliano kuwa atakurudishia tarehe fulani? Baada ya tarehe kupita, ukimtafuta ili kujua kulikoni, anakuambia mbona unanipigia simu asubuhi sana? Halafu mwingine anakuuliza yaani buku mbili ndio unafuatilia? Nafikiri si sawa. Suala si kiwango cha hela katika muktadha huu bali mazingira, na ndio maana inaweza kugombana na konda kwa chenji ya 100, si kwa sababu no nyingi lakini mazingira na staili ya mawasiliano.
 
kitendo alichofanyiwa uttoh siyo fea ata kidogo apo ataenda ita ndugu zake watafungua biashara mtaa wote na kibaya ni dharau na majivuno na ndumba yao ya biashara ni kali sana sijuh wanaipatia congo ama burundi muha huwa hachemki kwenye biashara
Mbona mm muha ila sipo hivyo...
 
Wakuu, hakuna mahali niliposema nimetapeliwa na mtu kwa sababu sikuwa nimekopesha mtu. Ninachosema ni kwamba lengo langu la kumtafuta huyo mtu, lilikuwa ni ili kujiridhisha kama yuko serious nimuongezee mtaji na sasa awe amepata mtaji wa kutosha ambao ungemuwezesha kutoka alipo. Lakini kinyume chake akaleta dharau na kejeli ambazo kwa kweli sikutarajia. Hilo ndilo jambo lililonishangaza nakunisikitisha.

Naomba nisisitize tena, sikutapeliwa maana sikukopesha mtu, na wala sisikitiki kupoteza hela maana sikwenda kwa ajili ya kurudishiwa.

Na hoja ya hela ilikuwa ni kidogo au nyingi, hiyo si hoja ya msingi ya kumfanya mtu ajibehave hivyo.

Ni sawa na mtu anakuja anakukopa 2000 kwa hoja kuwa kakwama kabisa hana namna, unampatia kwa makubaliano kuwa atakurudishia tarehe fulani? Baada ya tarehe kupita, ukimtafuta ili kujua kulikoni, anakuambia mbona unanipigia simu asubuhi sana? Halafu mwingine anakuuliza yaani buku mbili ndio unafuatilia? Nafikiri si sawa. Suala si kiwango cha hela katika muktadha huu bali mazingira, na ndio maana inaweza kugombana na konda kwa chenji ya 100, si kwa sababu no nyingi lakini mazingira na staili ya mawasiliano.
Una moyo wa kipekee broo
Mm mwenyewe nishasema kumsaidia mtu mwisho chakula tu..
Watu wanaboa kinoma nikikumbuka niliyofanyiwa basi tu..
 
Mkuu pole, hebu weke stori yako kwa ufupi mkuu ili ku share uzoefu.
 
Kuna rafiki yangu alikuja gheto usiku (Nilikua bado nasoma kachuo flani hv)
Akasema nimsaidie nafasi alale na mizigo yake. (Microscope &Others lugage)
Mm nikampa nafasi tukalala kama marafiki tuliozoeana , asubuhi nikamuacha gheto nikaenda class kurudi nakuta kanikomba hela yote ta matumizi, kaweka supeblack kwenye mafuta ya kupaka, kanyoa minywele ya sirini akatapakaza bafuni na hakutoa, akachukua walet na kitambulisho cha mpiga kura, akachukua laini yangu akakopa 5000 aisee niliumia sana..
Nikajiuliza hv kumsaidia ndio imekua kosa?
Bila principal nilikua namuweka ndani kwa muda akanyee ndoo.
.
.
.
Kudhurumiwa hela ndio usiseme sasa simkopi mtu yoyote tena nishakataa labda nimpe yote tu.
 
Back
Top Bottom