Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,506
- 11,439
Hata kama hajamkopesha.....
Kapigwa maana jamaa katumia ujanja wa shida kumkwapulia pesa

Hata kama hajamkopesha.....
Kapigwa maana jamaa katumia ujanja wa shida kumkwapulia pesa

😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 wabongo balaa walishamuona ni chuma ulete
Mkuu nikuheshimuye sana, utoaji ni kitu kizuri sana endapo utatoa bila kutaka mrejesho. Toa kama sadaka na unamtolea Mungu. Mimi huwa natumia ule mstari wa Biblia usemao;( loloye ulitendalo kwa neno au kwa tendo fanya kama kwa Bwana)
Ukifuatilia matokeo au alichokifanyia mwombaji utakata tamaa ya kusaidia wengine.
Ndiyo maana Agano la kale sadaka zilikuwa zinateketezwa ili mtoaji asipate nafasi ya kuzifuatilia matumizi na kuanza kunung'unika endapo zitatumika vibaya.
Kutoa ni kubarikiwa, fuatilia sana mtu yeyote mtoaji hakosi vitu/baraka bila kujali ana dini au hana, hii ni kanuni ya Kimungu..(wapeni watu vitu nanyi mtapewa kwa kipimo cha kujaa na kusukwasukwa hata kumwagika...kitabu cha Luka by Jesus)
Haina haja kufuatilia matumizi, masikini anashida nyingi, anaweza kuomba mtaji ukimpa siku hiyohiyo mwenye nyumba akaja kudai kodi so akaishia kulipa kodi au chakula.
Kujiridhisha kabla ya kutoa ni muhimu, lakini ukitoa haina haja ya kufuatiliaHilo ni kweli kabisa Mkuu, lakini unapoweza kujiridhisha huyo anayekuomba msaada hahitaji huo msaada kama anavyodai basi hakuna ubaya kustuka. Maamuzi haya yanatofautiana kati ya mtu na mtu Mkuu. Shukrani sana Mkuu.
Kujiridhisha kabla ya kutoa ni muhimu, lakini ukitoa haina haja ya kufuatilia
Mtaje tu hata kwa hiyo ID fake anayoitumia tutamtafuta kwenye posts zake nyingine. Ikiwezekana kama una ushahidi mwaga mboga humu namba yake ya simu asiendelee kutapeli watu.Yeah! Mimi ninachoamini tu ni kwamba kwenye dunia hii wewe fanya wema tu hata ukifanyiwa uhuni basi ila utakuwa huru na mwenye furaha wakati wote. Mafanikio kwenye maisha ni kuwa na utu, kudhaminiwa na kuwadhamini wengine.Udhaifu wa mtu mwingine usikufanye nawe kuwa dhaifu.Unatakiwa kuwa imara na usifanye makosa kwa kuwa wengine wanafanya makosa.Fanya jambo ambalo linakuweka huru na kukupa furaha na hata kuwa na sababu ya kuendelea kuishi.
kabisa mkuu bora amtaje kwani itakuwa ni faida kwa wengi humu asijekutapeli wenginie hapaMtaje tu hata kwa hiyo ID fake anayoitumia tutamtafuta kwenye posts zake nyingine. Ikiwezekana kama una ushahidi mwaga mboga humu namba yake ya simu asiendelee kutapeli watu.
Kujiridhisha kabla ya kutoa ni muhimu, lakini ukitoa haina haja ya kufuatilia
Ati!?Hee, wakuu naomba nimtaje, nilikuwa sijapitia profile yake, sasa nimejiwa na wazo la kiipitia, naona aana kila dalili ya kupiga watu wengine. Naona hivi karibuni kaja na uzi wa kutafuta mume, bila saka atataka atumiwe sehemu ya mahari, au wachumba wamtumie hela kidogo ya kupunguza ukali wa maisha.
cc BAK CHIKIRA MTABARI
naam, ngoja niwape linkAti!?
Kwa kurahisisha ungemtaja tunaam, ngoja niwape link
Yeto haya!anajiita lonalav
Mkuu, labda lugha ngumu au ni sanaa ya lugha. Sisi tulio masikini tuajiriwe ili tunyonywe daaahhh. Your words are very bitter. Na si kila masikini akiajiriwa atafia katika umasikini wake.Nilishasema haya mambo ya jiajiri, ujasiliamali, vikundi vya uzalishaji mali na saccos ni mambo ya kuibia watu tu,
mtu masikini anapaswa aajiriwe na alipwe mshahara mdogo ili usikidhi mahitaji aendelee kutumika.
Huyu kijana ni reflection ya vijana wetu wa kitanzania
Lengo ilikuwa kumsaidia , siyo kuwa share, ama tarajia kurejeshewa hapana. Kama alivyoandika ni sahihi basi tumwelewe.Ukiona hivyo ujue...ushapigwa wewe... ndio maana anakuzungusha
Nimeelewa mkuu, hapa bila shaka ni kweli atakuwa na shida ambayo kwa namna moja ama nyingine inamfanya kuchanganyikiwa hii ni kutokana na uhalisia wa maisha pengine anayoishi. Kiufupi mm nikiwa mmoja ya wahitimu wa mwaka huo chuo mojawapo mkoani kilimanjalo katika taaluma ya elimu-sanaa, nimejifunza vingi sana hasa kupitia wenzangu ambao wamemaliza lakn kwa kiasi fulani walikuwa wanategemea ajira kama mm. Hawakuona umuhimu wa kujishughurisha kwasababu tu ajira za ualimu zilikuwa za kuchaguliwa kama wanafunzi. Baada ya utaratibu kubadilika wengi walijikuta wanakata tamaa. Badala ya ama kuchukua hatua ili mazingira yalete matokeo wengine wakaamua kukata tamaa jumla. Kwa huyo dada kuna kitu nimekiona kilichofanya au sababisha ashindwe ama kuanzisha hiyo biashara kwa makusudi au ni nje ya uwezo wake. Kwanza: Hajiamini, hii ni kwasababu kiwangu cha pesa alichosema hapo na mahitaji yake kwa ujumla ilikuwa ngumu kuanzisha kwani mtaji ni kidogo sana afadhari angesema 150tsh. Lkn uamuzi aliochukuwa wa kutaka kuolewa sio sahihi kwani hilo ni tatizo jingine wanaume saizi tunataka mdada ambaye naye amejiongeza na ana kitu/vitu hatuoi mtu awe mzigo bali mchango. Anyway akipata kusoma ujumbe huu aje pm nimcouncel maana wahutimu wa shahada hatutakiwi kufikilia kurahisi hivyo.Jamani hali yangu ni mbaya sana! Wizara ya elimu mtuangalie sisi walimu tuliosoma sanaa
Alianza hivyo tarehe 06 February, 2017, nikamuona, nikamuhurumia lakini nikampotezea.
Tarehe 13 Machi, akaja hivi:
Naombeni msaada please
Nikamuhurumia, ukifuatilia huo uzi, utaona mchangiaji wa mwisho alikuwa ni mimi.
Kisha baada ya hapo sikufuatilia tena alicho post hadi leo, baada ya kusisitizwa nimtaje asije akapiga tena salio kwa wadau wengine. Baada ya kufuatilia naona Tarehe 13 May, anatafuta mume
Natafuta mume wa kunioa
Inawezekana labda biashara ilimshinda maana mtaji ulikuwa kidogo, lakini pia ameamua aolewe. Any wayatakayeamua kumuoa huyu dada ajiridhishe kwanza kabla ya kutuambia tuchangie harusi.
