Mrejesho: Matusi na kejeli ya mume wangu

Mrejesho: Matusi na kejeli ya mume wangu

Mimi sijamlamu jaji, tatizo kubwa lilikuwa kwenye ushahidi si unajua hizi kesi zilivyo. Lakini hata mchango wangu haukuonekana hata kidogo kama mwanamke, hili nalo linashangaza. Huyu mwanaume ana matatizo ingekuwa inawezekana ningekupa details za huyu jamaa halafu ukafuatilia mtaani utashangaa. Hakuna hata ndugu yake upande wa baba yake anaongea naye. Mtu alidiriki kumuambia baba yake kama atachoma nyumba yake moto kama ataendelea kunitetea, Mpaka leo ninavyoandika wazazi wake hawaongei naye, sembuse mimi.
Je mumeo alikuwa analalamika nini juu yako?Hilo ndilo tunataka kujua,maana kwa Maelezo yako mtu akikusoma vzr hata wewe una matatizo.
 
Dhuluma haidumu, Mungu atakuona na utapata vingi kuliko hivyo alivyodhulumu.. gari kitu gani bwana unatoka barabarani tu paaap limebamizwa.. shukuru Mungu una uhai na unaonekana ni mchapa kazi utafanikiwa tu..

Asante ndugu, changamoto ni sehemu ya maisha
 
Yupo jamaa ila hatujaanza uhusiano rasmi, nilitaka kumalizana na kesi kwanza kwani hukumu imetoka mwisho wa mwezi uliopita
Be careful mwaya asije akawa mchunaji km huyi aliyeondoka!

Usiwe muwazi sana kuhusu mali na kipato kama hujamjua vzr!!
 
Je mumeo alikuwa analalamika nini juu yako?Hilo ndilo tunataka kujua,maana kwa Maelezo yako mtu akikusoma vzr hata wewe una matatizo.

Yeye alichokuwa anatetea ni mali, na huko kwenye usuluhishi eti alikuwa anasena bado ananipenda. Nia yake ilikuwa kunidhulumu toka mwanzo, ndio maana alimleta hata mchepuko wake ndani ya nyumba tuliyokuwa tunaishia. Soma story toka mwazo utaelewa
 
Hilo nalizingatia sana
Niliwahi kukutana na balaa km hilo! Yani yule muuwaji yule angenioa ningeshakufa! Ila sasa kuna wimbo was kikristo unaimbwa MUNGU UNIOKOE MIDOMONI MWA MWAMBA!! Kuna mamba watu.

Be strong usijali jamii na baadhi ya comments humu.
Nenda mbele, kugeuka nyuma no kugeuka jiwe.
Nimesikitika mno
 
je , una hamu tena ya kuolewa?? au umevunjika moyo na wanaume?
 
Huna?!...yule nlikuona nae kwa mromboo
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chizi kweli ww,nmecheka kwa sauti,macho yako mabovu mbona sikuwa na mtu nlkuwa pekee yangu
 
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chizi kweli ww,nmecheka kwa sauti,macho yako mabovu mbona sikuwa na mtu nlkuwa pekee yangu

Nimekupiga mpk picha ujue
 
Niliwahi kukutana na balaa km hilo! Yani yule muuwaji yule angenioa ningeshakufa! Ila sasa kuna wimbo was kikristo unaimbwa MUNGU UNIOKOE MIDOMONI MWA MWAMBA!! Kuna mamba watu.

Be strong usijali jamii na baadhi ya comments humu.
Nenda mbele, kugeuka nyuma no kugeuka jiwe.
Nimesikitika mno
Asante, mshukuru Mungu kakuepusha
 
Back
Top Bottom