Nimeshindwa kuamini gharama za Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

Nimeshindwa kuamini jana, pale TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE mgonjwa kulala kwa siku ni Tsh. Laki moja na elfu ishirini.
Hapo ndipo nawashukuru wazee wangu kwa kutafuta pesa kwa nguvu ili kijana wao nisije dharirika ukubwani na leo nakula matunda yao .

Keep resting my parents mwenzenu sasa ni chapombe niokoeni mwanenu.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Comments za namna hii huwa naziona za hovyo sana. Hiyo ni pesa ndogo kwa mujibu wako na baadhi, ila nenda kwa wiki mara tatu hapo JKCI uwe unatoa 200k kwa miezi sita, mnadhani maradhi ni kitu cha kusemea namna hii kirahisi tu.
Unajua nini kuna watu, wapo wenyewe hawana wana wanao wategemea.
Na kuwafanya wasione mbali.
Hakuna asiyetafuta hela, ila kazi kuipata.
 
Hapo ndipo nawashukuru wazee wangu kwa kutafuta pesa kwa nguvu ili kijana wao nisije dharirika ukubwani na leo nakula matunda yao .

Keep resting my parents mwenzenu sasa ni chapombe niokoeni mwanenu.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Tajiri utumie Samsung J4, ata fingerprint tu haina. Ebu toka uko acha kebehi.
 
Back
Top Bottom