Mrejesho: Ile ndoa ni Kesho wakuu...

Mrejesho: Ile ndoa ni Kesho wakuu...

Leejay49

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
19,295
Reaction score
60,915
Hi guys..

Hope mko poa na Mambo yenu yanaenda vizuri, Kwa ambao mko na changamoto Allah awafanyie wepesi insha'Allah kila kitu kitakua sawa

Nimeleta Mrejesho wa Thread
'Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo' Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

Juzi watu wamesherehekea Send off,. Kesho wanaenda kuoana,. Binti mchepuko nae yuko upande WA marafiki WA bwana harusi na sare ameshona.. Yuko busy na shughuli kama hakuna anachokifaham.

Sema huyu mwali ni mkavu jamani looh!.

Nilichojifunza kwenye haya maisha aisee mambo ya watu yanaweza kukuumiza kichwa bure ukiyafatilia sana
 
Labda alishaambiwa tangu mwanzo, duh! Mimi nisingekubali kuchezewa hivyo
 
Back
Top Bottom