Mrejesho hatua ya tatu na ya mwisho

Mrejesho hatua ya tatu na ya mwisho

Yeye ndiyo aliiweka mwenyewe password anazo siku akijisikia kuitoa ataitoa
Sasa nitakua na uhakika gani kama hapa naongea na Isaac au Jovitha?

Umeshindwa hata kubadili password mama? Hii ni best case scenario, worst case ni atakapoanza kuandika vitu vya ajabu.
 
Umempa hadi password????
Ningeibadili lkn simu yng hapa juu imevunjika kioo ilianguka so tach imegoma kwahiyo inaniwia vigumu kuitoa nikipata simu ya MTU nl mwingine ntamuazima then niitoe
 
Duh washkaji wa dar mnatuangusha..ona sasa! We manzi hebu fanya uje huku.. ila ujue ukinasa tu uifute jf acc yako usije leta mrejesho kama wa huyo mdasalms
 
Nadhani mnakumbuka threads zangu zilizopita nilikuwa na tafuta mchumba na nilileta mrejesho nimeshampata.. Anaitwa Isaac...

Basi tulikubaliana na Isaac tuwe wapenzi na vigezo nilivyokuwa navitaka alikuwa navyo basi safari ya mapenzi ikaanza tukawa tunawasiliana fresh mpk tukapanga siku ya kukutana coz mi Niko Moro yeye yupo dar.. Hivyo hivyo tukawa tunawasiliana mpk siku ya kwenda dar ikawadia ila siku hiyo mi kwa Bahati nzuri au mby nikawa nimeingia kwenye Siku zng...

Nikamwambia bby mi ninablidi akanambia poa ukimaliza kublidi njoo,, mi kiukweli sikupenda jibu lake coz nilifikiria lbd kanikubali tu kwasabab ya papuchi.. Basi nikamwambia utakuwa umenipendea papuchi hujanipenda Mimi km mm akanijibu "aaaaaaa" hakuongeza neno wala nini, baada km siku mbili nikamwambiaje basi wewe njoo Moro akanijibu oooh mi siwezi kulala guest nikamuuliza kwann akanijibu basi tu siwezi Alf akatuma tena text nyingine akasema mi bhana sina hela nikamwambia pouwa,, badae nikamwambiaje bhanae mi nimekushidwa akanijibu nashukuru....

Kwahiyo ndio tulipo ishia ila kiukweli nimetokea kumpenda sana tena saana hata nikiona picha yke moyo unaniuma nasema ukweli baada ya yeye kunikubali sina mwanaume mwingine zaidi yke....

Ahsanteni kwa mliokuwa pamoja na Mimi mpk hapa nilipofika.....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji174] [emoji174]
Acheni maisha ya Acapulco
 
Ningeibadili lkn simu yng hapa juu imevunjika kioo ilianguka so tach imegoma kwahiyo inaniwia vigumu kuitoa nikipata simu ya MTU nl mwingine ntamuazima then niitoe
Haina ile option ya kurotate screen?
Ama mtumie password Daby ama Castr akubadilishie
 
Ningeibadili lkn simu yng hapa juu imevunjika kioo ilianguka so tach imegoma kwahiyo inaniwia vigumu kuitoa nikipata simu ya MTU nl mwingine ntamuazima then niitoe
Sorry bibie kwa swali.
Huvi huyo kwenye avatar ni nani?
Kwanini usiweke avatar ya kike?
Hauoni itakusababishia kutokuaminiwa hiyo avatar mwisho ukapata fake lover?
 
yani hata hajakutia unamlilia hivi???...
pole sana....
unajisikia hivyo kwa sababu ni mpweke bado,ila ukishapata mwingine utamsahau tu eventually.....
halafu hawa wa mitandaoni em achana nao,kwani huko kitaa hamna wanaokutongoza....
acha roho mbaya wewe kwani sisi wa mtandaoni tuna nini,

Jovitha niPM plz
 
Haina ile option ya kurotate screen?
Ama mtumie password Daby ama Castr akubadilishie
Haha naona unanipigia promo haha...
Nwei akiridhia nitamsaidia then nikimaliza abadilishe tena password japo ni risk saana.

Cc Jovitha
 
Ndiyo dada
Huu ni ukatili mkubwa kuliko alioutenda jamaa. Ameweka picha yake kaandika tuhuma zake kaweka wazi hii picha ni ya jamaa. Umemuharibia sana. Au ndio ubaya ubaya asirudie tena?
 
Back
Top Bottom