Mramba: Another Challenge!

Mramba: Another Challenge!

Kwani fedha za mamayake?

Mkuu Mshiiri,

Tuko pamoja kwenye mambo mengi lakini hapa umeenda mbali,umemtukana mama wa watu bure.Kama huyu jamaa ni fisadi basi ni tabia yake mkuu

Owise kwenye misimamo mingine kuhusu Mramba tuko pamoja ingawa wananchi wa Rombo ndiyo waamuzi
 
- Sasa wakuu wa Rombo tupeni muongozo, je Mramba kweli hafai huko jimboni? Na kati ya hawa vijana wanaotaka kusimama naye nani anatufaa JF ili tumpe tafu?

- Mkulu Yebo Yebo vipi unamfahamu huyu kijana tupe CV yake, au?

Respect.

FMEs!

Notburga Maskini's curriculum vitae

I have managed to obtain Notburga Maskini's CV. She recently announced her candidature for the parliamentary seat for Rombo constituency (Kilimanjaro region) in October's elections. Rombo's MP is Basil Mramba, former Finance Minister in President Jakaya Kikwete's government.

The CV speaks for itself:

Education:
  • Master of Business Administration (Public Service), International University of Birmingham (2001)
  • B.A. Honours in Public Administration, University of Dar es Salaam, 1987
  • Diploma in Strategies for the Extension of Social Security, ILO Training Centre, Turin, Italy, November 2003
  • Secretarial Certificate from Shinyanga Commercial Institute, 1977 - 1978
  • National Form IV Certificate, Kinondoni Secondary School
Leadership Training:
Attended seminars and meetings on the management of social security institutions, AIDS in the workplace, leadership for women, investments, challenges facing local governments; women empowerment for sustainable development; sourcing of funds for small-scale businesses and others.

Current work:
Principal Administrative Officer at the Office of the Prime Minister and Local Governments, Dodoma, since Nov 2009

Employment in the government and various institutions:
  • Administrative Manager, Local Administrations Pensions Fund (LAPF) headquarters, Nov 2008
  • Zonal Manager, LAPF, Southern Highlands, Iringa, Feb 2006 - Nov 2008
  • Acting Director, Human Resource and Administration, LAPF, May 2002 - Feb 2006
  • Human Resource Manager, LAPF, Feb 2002
  • Town Director, Sumbawanga Town Council, 1999 - 2002
  • District Executive Director, Mpwapwa District Council, 1977 - 1999
  • Acting Department Head, Department of Administration and Finance, Local Governments Service Commission, 1991 - 1993
  • Administrative Officer Grade I, Local Governments Commission, 1989 - 1997
  • Administrative Officer Grade II, District Commissioner's Office, Temeke RDA, Dar es Salaam, 1987 - 1988
Professional Training:
  • Certificate in Human Resource Management, Institute of Public Service, University of Connecticut, USA, June - Aug 1996
  • Women into Senior Management, Development and Project Planning Center, University of Bradford, England, Jan - Apr 1993
  • Certificate in Personnel Management of Training Institutions, Elis Centre, Rome, Italy, Sep - Dec 1991
Job Attachments in International Institutions:
  • Craigavon Borough Council, Northern Ireland, Apr - June 1993; Leadership and Good Governance in Local Governments
  • Observer in the local elections of Craigavon Municipality under the proportional representation system, May 1993
Study Tours:
  • Insititute of Work Training for Youth Development, Copenhagen, Denmark, Feb 2008
  • The management of social security institutions (SSNIT), Accra, Ghana
  • "Social Exclusion and Poverty"; Economic Development and Social Inclusion (EIPA-ECR), European Institute of Public Administration, Barcelona, Spain, June 2001 to study the European experience in accommodating the disadvantaged groups, school dropouts, immigrants from Eastern Europe, North Africa and other parts of the World, and to study the history and stage-by-stage development of Barcelona into a modern city
  • British Cabinet Office; to study the British Government's experience in civil service reforms and public service, March 2001
  • World Bank; Studying and analyzing World Bank projects for Third World countries and their policies, Washington DC, August 1996
  • Study the work rules and regulations of the United Nations and workers' rights, Aug 1996
  • American Civil Service Commission; learn about the structure of leadership in the US government; civil rights related to employment, promotions, and nominations to senior government positions, remuneration, and disciplinary procedures, Aug 1996
  • Earling Borough Council, London. Study the activities of the municipality and various opportunities given to citizens and immigrants, Feb 1993
  • The Royal Institute of Public Administration. Learn of the civil reforms made by the UK government initiated with Margareth Thatcher's administration
  • The British Equal Opportunities Commission. Study how the British government was structured in protecting the rights of its citizens.
Awards and Scholarships:
  • The British Chevening Scholarhship Award 2000
  • USAID Scholarship award 1996
  • USAID scholarship 1997
  • British Overseas Development Agency (ODA) 1996
  • British Overseas Development Agency (ODA) 1993
Other responsibilities in society:
  • Vice Secretary, WAWATA, Archdiocese of Dar es Salaam, 1995 - 1997
  • Vice Chairperson, WAWATA, Yombo Parish, Archdiocese of DAr es Salaam, 1994 - 1997
  • Treasurer, Community of the Virgin Mary of Lourdes, Yombo Vituka, 1994 - 1997
  • Chairperson, Committee of Justice and Peace, Catholic Dicocese of Dodoma, 2002 - 2006
  • Chairperson of Christian Professionals of Tanzania, 2003 - 2006
  • Secretary, Vituka Women Association, 1993 - 1997 (Savings and environmental organisation)
Leadership in Chama cha Mapinduzi:
  • I made a bid to represent the workers as their member of parliament in 2000; "the votes were insufficient"
  • Member of the District Executive Committee, Iringa Urban district, 2007 - 2009
  • Member of the Political Committee, Iringa Urban District, 2007 - 2009
  • Member; General Meeting of the region of the UWT, Gangilonga Ward, 2008 - 2009
Leadership positions in the trade union movement:
  • Vice president of the Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA), Aug 2006 - to date
  • Member; Executive Committee, Local Governments Workers' Union, June 2005 - to date
Positions in various boards:
  • Board member, Iringa Girls' Secondary School, 2006 - 2009
  • Board member, Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka, Sumbawanga, 1999 - 2002
  • Board Chairperson, Chisalu Focal Development Centre, Mpwapwa, 1997 - 1998
  • Board member, Government Employment Committee, Local Governments Service Commission, 1990 - 1997
Training visits in various countries:
Europe:
Italy, United Kingdom, Spain, Germany, France, The Netherlands, Norway, and Denmark.

North America:
Connecticut, New York, Washington DC, Maryland, New Jersey, and Miami.

Africa:
Kenya, Uganda, South Africa, Malawi, Zimbabwe, Botswana, and Ghana.

http://madarakanyerere.blogspot.com/2010/03/notburga-maskinis-curriculum-vitae.html

Naona mkuu utakuwa umepata ulichotaka hii ni CV yake, from my personal opinion i think she was trained for public service! people need this kind of individuals
 
Mkuu very good job. Sasa naanza kumuelewa huyu mama...watu wanasema ni mkorofi kumbe wanashindwa kuelewa yuko more EXPOSED na hataki longo longo.

Ngoja nimsikie mikakati yake huenda nikamfikiria kwenye kura yangu.... Nitajaribu kupata cv za wengine pia wanaowania huku rombo kwani cv kama hii inaweza kunipa some clues and direction ya mtu alivyo...

Kama ulivyo sema nakubali huyu mama was trained for public service.
 
Notbruka sio mla rushwa na wala hajawahi kushushwa cheo ila alihamishiwa wizarani kwa kuwa anafahamiana na waziri mkuu? kwani LAPF ipo chini ya waziri mkuu? Naamini kuna ufisadi huko nakumbuka mwaka 2009 niliona TBC wakidodosa uwepo wa rushwa katika tenda ya ujenzi Afisa mwandamiza katika manunuzi aliacha kwa notisi ya masaa 24 pia mkurugenzi wa mipango aliacha kazi kwa notisi ya masaa 24 baada ya kuingia kwenye kashfa ya ufisadi. Na baada ya hapo nilishangaa kuona ameajiariwa Bandari kama mkurugenzi mkuu msaidizi wezi na mafisadi wa NSSF wamejazana LAPF japokuwa hawana uwezo na wengine wana vyeti vya kufoji pia wana ukabila uliokithiri pia ukiwa fisadi ndio sifa kubwa ya kupata ajira LAPF. Mkurugenzi mkuu alivuliwa madaraka ya ukurugenzi wa mipango NSSF kwa kosa la wizi na ufisadi katika tenda lakini cha ajabu kateuliwa kuwa mkurugenzi mkuu LAPF kazi kubwa anayoifanya ni kujenga mtandao wa kifisadi . hakuna ajabu mtumishi ngazi ya manejimenti kuondolewa LAPF kwa kuhofia maslahi yao....kwa hiyo naamini mtu kama huyu mama lazima apigwe vita kwa vile ni mtetezi wa wanyonge..
 
Notburga Maskini's curriculum vitae
Naona mkuu utakuwa umepata ulichotaka hii ni CV yake, from my personal opinion i think she was trained for public service! people need this kind of individuals

Huyu mama namfahamu kwa muda mrefu, lakini nilishindwa ku comment chochote. Nimeshawishika kuchangia baada ya kuona CV yake.

Hata hivyo licha ya kuwa na exposure kubwa lakini haijaweza kumsaidia kwenye Leadership kwa sababu hana uwezo wa kutenganisha masuala ya kazi na masuala binafsi.

Kwa jinsi ninavyomfahamu huyu mama, baada ya kuhamishwa kutoka Sumbawanga, alipelekwa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa ambako alikataliwa kiasi kwamba hakushusha hata mizigo yake kwenye gari baada ya kuambiwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Peter Siyovelwa kuwa safari yake bado inaendelea.

Ni kutokana na danadana hiyo, alipelekwa LAPF ambako kulikuwa na upungufu wa Staff katika managerial posts. Hata hiyo, licha ya kukaimu nafasi ya DHRA kwa muada wa miaka 4, lakini kwa kipindi chote hicho alikuwa ni kituko na Chaos katika Taasisi.

Kwani ilitegemewa kuwa kwa nafasi yake angeweza kuunganisha wafanyakazi na hivyo kuleta tija lakini ilikuwa kinyume chake. Watumishi hawakuwa na mani ya kufanya kazi kila siku kusutana na kutetana.

Tabia hiyo ilipelekea siku moja alimpiga kibega aliyekuwa Mwanasheria wa Mfuko wakati wakipishana kitendo ambacho kinadhihisha kuwa hana uwezo wa kutenganisha kazi na masuala binafsi kama vile ugomvi.

Ni kutokana na tabia hiyo, hata wakati wa mchakati wa mchakato wa kujaza nafasi ya DHRA, hakufikiriwa kutokana na output aliyodeliver kipindi alichokuwa akikaimu.
Strenth kubwa aliyonayo ni ya kumface mtu hata kwa matusi bila kujali huyo mtu ni nani.

Pia kwa tabia yake, alikuwa na mpaka sasa hachelei kumporomoshea mfanyakazi au mtu aliyemuudhi, matusi ya nguoni bila ya kujali iwapo kitendo kilichomuudhi ni cha kikazi.

Kwa ujumla wake ana matatizo ya Kisaikolojia ambayo yamemuathiri sana hali inayoathiri pia uwezo wake katika kazi. Anaweza kuwa ni mchapa kazi mzuri sana lakini katika nafasi za uongozi yataka mtu mwenye uvumilivu wa hali juu, sifa ambayo huyu mama hana.

Kwa mujibu wa wataalamu wa saikolojia ana tatizo la OVER COMFIDENCE na hii mara nyingi huwapata wanawake walioshindwa kuolewa katika muda mufaka au kutokuolewa kabisa maishani mwao kama alivyo yeye.

Nimelazimika kutoa ufafanuzi huu kwa lengo la kuweka uwanja sawa kwani simchukii na wala simfagilii. Lakini ninamfahamu sana na hata kwenye sakata la PRADO yake mpya nilimsaidia kumtolea bandarini.
 
Hata mimi namfahamu huyu mama pia (nimefanya nae kazi)! na nadiriki kusema haya;

Inavyoelekea wewe utakuwa Dr wa saikologia na personal dr wake nathani (kwa kudiriki kuhusisha kutoolewa kwake na utendaji wake wa kazi, kwa hivyo basi unaweza kumpa pia kumpa ushauri nasaha na kumsaidia baada ya kufanya hii hypothesis!). Na kwa maelezo yako inaelekea character ya huyu mama ni Iron Lady-like yaani mwenye kuongoza with Iron fist! Sasa kaka masuala ya Prado yake mpya au ya zamani yanahusu nini hapa? na kama ulimsaidia ulitaka akushukuru sio? 😉 maana unajua tayari hajawahi kuolewa (una proof maana yake)! Nathani watu wanataka kujua uadilifu wake na utendaji wake wa kazi kuwa na confidence kama una-execute si tatizo! Na kama aliletwa LAPF for reforms na akaweza kubadili shirika kuwa mfuko katika mikiki ya Mafisadi naomba kuchukua nafasi hii kumpa HONGERA!

Suala la mzee Siyovelwa nathani ni Marehemu sasa, tuambie utendaji wake ulikuwa vipi? Je alikuwa safi? na huko alipoenda kufanya kazi huyu mama matokeo yalikuwa vp ali-deliver? nakumbuka madiwani walifukuzwa kazi na wananchi kwa kumpinga! na hata walidiriki kutumia gazeti la Uhuru kumkashifu na cha kushangaza toleo lililofuata gazeti hilo hilo liliomba msamaha! sasa sijui unalieleza vp hili?

Naomba utuambie hao waliomtoa kazini wana quality gani za utendaji maana inaelekea kuna madudu sana huko LAPF dodosa za magazeti zinasema hata mpangaji wa mwanzo aliyekuwa na biashara ya Hotel katika jengo la Millenium Tower alikimbia bila kulipa kodi ya mabilioni na sheria ikashindwa kumbana kama sikosei! kisa UFISADI NA MIKATABA YA KIJANJA. Na hata mpangaji wa sasa hakuidhinishwa na board! na ripoti ya CAG vipi?

Maswali yangu kwako ni haya;
Angekuwa mwanaume hajaoa ungeweka argument yako based on assumed physcological syndrome ? je huoni frustration za kazini ndo zilimfanya awe hivyo kama unavyodai? Je ni wangapi wanaopata matatizo makazini, na hucheka badala ya ku-fight against their mistreatment? Heshima yako Mkuu na uache kunyanyapaa jinsia!
 
Huyu mama atakuwa ni kiongozi mzuri tu. Mara nyingi kiongozi wa kanuni na taratibu, na asiyekuwa fisadi hapendwi sana na wengi ambao ni mafisadi.
 
umenena kaka tumsaidie! hapa kuna masuala ya gender segregation kama umesoma comments za watu! sisi watu wa Sumbawanga tunampenda na tunataka aje kugombea Sumbawanga, tulimuomba kipindi hiko akakataa kisa alikuwa anamweshimu Mh Kimiti!
 
Kha kaka umelonga watu wanakalia kulilia mafisadi hapa hiyo barabara aliyoleta ni kodi zenu! na ilikuwa wajibu wake kama Mbunge amechemsha na aende nyumbani! Tuwe na ustaarabu huu la sivyo hii nchi haitaenda mbali we will pacify a tendency to honor corrupt people as long as they deliver to us no matter their integrity and ethics to the nation as a whole!🙁 huu ni ubinafsi wajameni!

GL
Ulichoongea hapa ni muhimu sana, unajua nadhani hili ndilo linasababisha hata kuwapo kwa huu ufisadi wenyewe.
Yaani watu wanataka kumzawadia mtu kwa sababu ya kutekeleza jukumu lake. Umemuajiri kwa mkataba wa miaka mitano, sasa kama kuna mengine mabovu kafanya kweli umrudishe eti kwa sababu alifuatilia, sijui kupiga debe bara bara ikajengwa, tena kwa kodi yako mwenyewe.
Kutokana na mitazamo ya namna hii ndo maana leo unaona mafisadi kuna majimbo kabisa wamefanya ni ya kwao, sababu tu, wanahakikisha wanatoa hata fedha zao kuleta maji, umeme waendelee kuwepo... na hii sasa inakuwa desturi sehemu zote...

Kwa kweli inabidi tubadilike...
 
Mkuu Mshiiri,

Tuko pamoja kwenye mambo mengi lakini hapa umeenda mbali,umemtukana mama wa watu bure.Kama huyu jamaa ni fisadi basi ni tabia yake mkuu

Owise kwenye misimamo mingine kuhusu Mramba tuko pamoja ingawa wananchi wa Rombo ndiyo waamuzi
Kaka umeulizwa maana unadai ameleta barabara yeye in favour of Rombo na sio wajibu wake kama mwakilishi! Maana naskia huyo Mh alishawahi kuwauliza Warombo, "ni mama gani aliyezaa Waziri zaidi ya wa kwake?". Sioni tusi kwenye hilo swali though lets talk on the main issues hapa!
 
Notbruka sio mla rushwa na wala hajawahi kushushwa cheo ila alihamishiwa wizarani kwa kuwa anafahamiana na waziri mkuu? kwani LAPF ipo chini ya waziri mkuu? Naamini kuna ufisadi huko nakumbuka mwaka 2009 niliona TBC wakidodosa uwepo wa rushwa katika tenda ya ujenzi Afisa mwandamiza katika manunuzi aliacha kwa notisi ya masaa 24 pia mkurugenzi wa mipango aliacha kazi kwa notisi ya masaa 24 baada ya kuingia kwenye kashfa ya ufisadi. Na baada ya hapo nilishangaa kuona ameajiariwa Bandari kama mkurugenzi mkuu msaidizi wezi na mafisadi wa NSSF wamejazana LAPF japokuwa hawana uwezo na wengine wana vyeti vya kufoji pia wana ukabila uliokithiri pia ukiwa fisadi ndio sifa kubwa ya kupata ajira LAPF. Mkurugenzi mkuu alivuliwa madaraka ya ukurugenzi wa mipango NSSF kwa kosa la wizi na ufisadi katika tenda lakini cha ajabu kateuliwa kuwa mkurugenzi mkuu LAPF kazi kubwa anayoifanya ni kujenga mtandao wa kifisadi . hakuna ajabu mtumishi ngazi ya manejimenti kuondolewa LAPF kwa kuhofia maslahi yao....kwa hiyo naamini mtu kama huyu mama lazima apigwe vita kwa vile ni mtetezi wa wanyonge..

Mshiki kwanza karibu sana jamvini. Nilidhani wewe ni mshihiri...kumbe laa...
 
umenena kaka tumsaidie! hapa kuna masuala ya gender segregation kama umesoma comments za watu! sisi watu wa Sumbawanga tunampenda na tunataka aje kugombea Sumbawanga, tulimuomba kipindi hiko akakataa kisa alikuwa anamweshimu Mh Kimiti!

Huyo mama angekua na kitu cha maana kwa watu wa Sumbawanga si angegombea?

Haya haya ndiyo niliyopinga kule kwenye thread nyingine ya yule kijana wa Mtera vs Malecela

Mkuu,kuna mtua kaelezea anavyomjua huyu mama.wewe unamkejeli na na kushabikia umefanya nae kazi,je unamshabikia kwa maslahi yako binafsi au kwa lujali maslahi ya wananchi wa Rombo?
 
Kaka umeulizwa maana unadai ameleta barabara yeye in favour of Rombo na sio wajibu wake kama mwakilishi! Maana naskia huyo Mh alishawahi kuwauliza Warombo, "ni mama gani aliyezaa Waziri zaidi ya wa kwake?". Sioni tusi kwenye hilo swali though lets talk on the main issues hapa!
Mkuu hebu rudia kusoma post zangu kwa makini,angalia misimamo yangu kuhusu Mramba,barabara nk.rudia tena na tena
 
Hata mimi namfahamu huyu mama pia (nimefanya nae kazi)! na nadiriki kusema haya!

Kama wamfahamu vizuri naamini kuwa utatoa fair comment kama nilivyofanya mimi.

[/QUOTE]Inavyoelekea wewe utakuwa Dr wa saikologia na personal dr wake nathani (kwa kudiriki kuhusisha kutoolewa kwake na utendaji wake wa kazi, kwa hivyo basi unaweza kumpa pia kumpa ushauri nasaha na kumsaidia baada ya kufanya hii hypothesis!).![/QUOTE]

Njia niliyotumia naamini amepata ujumbe.

[/QUOTE]Na kwa maelezo yako inaelekea character ya huyu mama ni Iron Lady-like yaani mwenye kuongoza with Iron fist! [/QUOTE]

Uongozi ni busara sio nguvu. Wanaohitaji nguvu ni waongozwaji na sio Viongozi. Being Iron fist is a weakness.

[/QUOTE]Sasa kaka masuala ya Prado yake mpya au ya zamani yanahusu nini hapa? na kama ulimsaidia ulitaka akushukuru sio? 😉 maana unajua tayari hajawahi kuolewa (una proof maana yake)! [/QUOTE]

Wala sio siri kwamba katika maisha yake hakuwahi kuolewa. Na pia ilikuwa ni katika kuthibitisha kuwa comments zangu ni za uhakika na ukweli.

[/QUOTE]Nathani watu wanataka kujua uadilifu wake na utendaji wake wa kazi kuwa na confidence kama una-execute si tatizo [/QUOTE]

Kama ni suala la uadilifu, hata kwa kusoma michango yote, sijaona mahali panapoonesha uadilifu wake. By the way hata kama ni mwadilifu, basi uadilifu wake ni incomplete kwa sababu, uadilifu ni pamoja na behaviour kwake binafsi pamoja na kwa watu wengine.

[/QUOTE] Na kama aliletwa LAPF for reforms na akaweza kubadili shirika kuwa mfuko katika mikiki ya Mafisadi naomba kuchukua nafasi hii kumpa HONGERA![/QUOTE]

Kwa bahati mbaya sana kati ya watu ambao hawakumsaidia Marehemu Mzee Bura basi huyu mama ni miongoni mwao kutokana na jinsi alivyokuwa akitekeleza majukumu yake kwa kutumia kanuni za jazba. Kusema ukweli hana alichokuwa akifanya na wala hakuwa hata mwongozo mwema kwa watumishi.

Pia wakati anajiunga na Mfuko ulikuwa tayari umeshabadilishwa kutoka Idara ya TAMISEMI, na sio Shirika, na kuwa Mfuko kwa mujibu wa Sheria ya THE LOCAL AUTHORITIES PROVIDENT FUND ACT, ya 2000. Kwa hiyo hakuwa na mchango wowote katika hilo.

[/QUOTE]Suala la mzee Siyovelwa nathani ni Marehemu sasa, tuambie utendaji wake ulikuwa vipi? Je alikuwa safi? na huko alipoenda kufanya kazi huyu mama matokeo yalikuwa vp ali-deliver? nakumbuka madiwani walifukuzwa kazi na wananchi kwa kumpinga! na hata walidiriki kutumia gazeti la Uhuru kumkashifu na cha kushangaza toleo lililofuata gazeti hilo hilo liliomba msamaha! sasa sijui unalieleza vp hili? [/QUOTE]

Yawezekana ikawa ni kweli kuwa alikuwa ni mzuri kwenye Taasisi alizopitia lakini akashindwa ku-deliver anapohamia kwenye Taasisi nyingine na vice versa. Sio jambo la ajabu na ndio maana hata wachezaji wa mpira hutokewa na hali kama hiyo.

[/QUOTE]Naomba utuambie hao waliomtoa kazini wana quality gani za utendaji maana inaelekea kuna madudu sana huko LAPF dodosa za magazeti zinasema hata mpangaji wa mwanzo aliyekuwa na biashara ya Hotel katika jengo la Millenium Tower alikimbia bila kulipa kodi ya mabilioni na sheria ikashindwa kumbana kama sikosei! kisa UFISADI NA MIKATABA YA KIJANJA. Na hata mpangaji wa sasa hakuidhinishwa na board! na ripoti ya CAG vipi? [/QUOTE]

Sikumbuki kama alitolewa kazini bali ninachojua ni kwamba alirudishwa Wizarani.
Lakini kama ni madudu, naamini kabisa kuwa yeye ni sehemu ya madudu hayo kwa sababu hata kwenye sakata la mpangaji wa kwanza wa Millenium Towers, yeye alikuwa ni sehemu ya management kwani alikuwa akishiriki kwenye vikao vya maamuzi na ninavyojua ni kwamba sakata la Millenium si sehemu ya complains zake.

Yeye Complains kubwa ambazo mpaka leo zinamsumbua ni kwamba kwa nini hakuwa confirmed kwenye post ya DHRA na badala yake akaletwa mtu mwingine.

[/QUOTE] Maswali yangu kwako ni haya;
Angekuwa mwanaume hajaoa ungeweka argument yako based on assumed physcological syndrome ?

Yes! Ningemjudge hivyo kwa sababu a good leader anaanzia kwake binafsi, kwa familia yake na kisha jamii anayoiongoza. Mtu kama hawajawahi kuoa au kuolewa huwezi kuwa na ushahidi kuwa ana uwezo wa kuhandle mke au mme pamoja familia na kuiongoza vema.
Mke au mume kwa kawaida huwa ndio tension releaser kwa watu wote unless awe mke au mume mbaya. Kwa hiyo, kama mtu hajawahi kuoa au kuolewa hadi anafikia 40s, basi he/she might have missed something in life.

[/QUOTE]je huoni frustration za kazini ndo zilimfanya awe hivyo kama unavyodai?[/QUOTE]

Hayo ni matokeo ya kutokutofautisha masuala ya kazi na masuala binafsi.

[/QUOTE] Je ni wangapi wanaopata matatizo makazini, na hucheka badala ya ku-fight against their mistreatment? [/QUOTE]

Kuna mbinu nyingi za kupambana na matatizo na hata kucheka pia yaweza kuwa ni mbinu mojawapo ya kupambana na matatizo.

[/QUOTE]Heshima yako Mkuu na uache kunyanyapaa jinsia![/QUOTE]

Ahsante. Mimi si mnyanyaapaji. Kutoa mchango sio sehemu ya unyanyapaa.

NB:

Nadhani jambo la msingi ambalo angeweza kulitumia katika kujinadi ni dhamira ya kutuletea maendeleo sisi wakazi wa Rombo kwa kutueleza ni namna gani atatusaidia katika kukabiliana na changamoto zinazotukabili. Na sio Historia kwani kama ni historia akina Mramba ambao walitumia ujana wao katika kujenga nchi wasingetumia Uzee wao katika kuibomoa na kuifisadi nchi walioijenga.
 
Mkuu kalikenye,

Hapo umenena maanake ushabiki na unazi ndio uliotufikisha hapa.
 
Kama wamfahamu vizuri naamini kuwa utatoa fair comment kama nilivyofanya mimi.
Inavyoelekea wewe utakuwa Dr wa saikologia na personal dr wake nathani (kwa kudiriki kuhusisha kutoolewa kwake na utendaji wake wa kazi, kwa hivyo basi unaweza kumpa pia kumpa ushauri nasaha na kumsaidia baada ya kufanya hii hypothesis!).![/QUOTE]

Njia niliyotumia naamini amepata ujumbe.

[/QUOTE]Na kwa maelezo yako inaelekea character ya huyu mama ni Iron Lady-like yaani mwenye kuongoza with Iron fist! [/QUOTE]

Uongozi ni busara sio nguvu. Wanaohitaji nguvu ni waongozwaji na sio Viongozi. Being Iron fist is a weakness.

[/QUOTE]Sasa kaka masuala ya Prado yake mpya au ya zamani yanahusu nini hapa? na kama ulimsaidia ulitaka akushukuru sio? 😉 maana unajua tayari hajawahi kuolewa (una proof maana yake)! [/QUOTE]

Wala sio siri kwamba katika maisha yake hakuwahi kuolewa. Na pia ilikuwa ni katika kuthibitisha kuwa comments zangu ni za uhakika na ukweli.

[/QUOTE]Nathani watu wanataka kujua uadilifu wake na utendaji wake wa kazi kuwa na confidence kama una-execute si tatizo [/QUOTE]

Kama ni suala la uadilifu, hata kwa kusoma michango yote, sijaona mahali panapoonesha uadilifu wake. By the way hata kama ni mwadilifu, basi uadilifu wake ni incomplete kwa sababu, uadilifu ni pamoja na behaviour kwake binafsi pamoja na kwa watu wengine.

[/QUOTE] Na kama aliletwa LAPF for reforms na akaweza kubadili shirika kuwa mfuko katika mikiki ya Mafisadi naomba kuchukua nafasi hii kumpa HONGERA![/QUOTE]

Kwa bahati mbaya sana kati ya watu ambao hawakumsaidia Marehemu Mzee Bura basi huyu mama ni miongoni mwao kutokana na jinsi alivyokuwa akitekeleza majukumu yake kwa kutumia kanuni za jazba. Kusema ukweli hana alichokuwa akifanya na wala hakuwa hata mwongozo mwema kwa watumishi.

Pia wakati anajiunga na Mfuko ulikuwa tayari umeshabadilishwa kutoka Idara ya TAMISEMI, na sio Shirika, na kuwa Mfuko kwa mujibu wa Sheria ya THE LOCAL AUTHORITIES PROVIDENT FUND ACT, ya 2000. Kwa hiyo hakuwa na mchango wowote katika hilo.

[/QUOTE]Suala la mzee Siyovelwa nathani ni Marehemu sasa, tuambie utendaji wake ulikuwa vipi? Je alikuwa safi? na huko alipoenda kufanya kazi huyu mama matokeo yalikuwa vp ali-deliver? nakumbuka madiwani walifukuzwa kazi na wananchi kwa kumpinga! na hata walidiriki kutumia gazeti la Uhuru kumkashifu na cha kushangaza toleo lililofuata gazeti hilo hilo liliomba msamaha! sasa sijui unalieleza vp hili? [/QUOTE]

Yawezekana ikawa ni kweli kuwa alikuwa ni mzuri kwenye Taasisi alizopitia lakini akashindwa ku-deliver anapohamia kwenye Taasisi nyingine na vice versa. Sio jambo la ajabu na ndio maana hata wachezaji wa mpira hutokewa na hali kama hiyo.

[/QUOTE]Naomba utuambie hao waliomtoa kazini wana quality gani za utendaji maana inaelekea kuna madudu sana huko LAPF dodosa za magazeti zinasema hata mpangaji wa mwanzo aliyekuwa na biashara ya Hotel katika jengo la Millenium Tower alikimbia bila kulipa kodi ya mabilioni na sheria ikashindwa kumbana kama sikosei! kisa UFISADI NA MIKATABA YA KIJANJA. Na hata mpangaji wa sasa hakuidhinishwa na board! na ripoti ya CAG vipi? [/QUOTE]

Sikumbuki kama alitolewa kazini bali ninachojua ni kwamba alirudishwa Wizarani.
Lakini kama ni madudu, naamini kabisa kuwa yeye ni sehemu ya madudu hayo kwa sababu hata kwenye sakata la mpangaji wa kwanza wa Millenium Towers, yeye alikuwa ni sehemu ya management kwani alikuwa akishiriki kwenye vikao vya maamuzi na ninavyojua ni kwamba sakata la Millenium si sehemu ya complains zake.

Yeye Complains kubwa ambazo mpaka leo zinamsumbua ni kwamba kwa nini hakuwa confirmed kwenye post ya DHRA na badala yake akaletwa mtu mwingine.

[/QUOTE] Maswali yangu kwako ni haya;
Angekuwa mwanaume hajaoa ungeweka argument yako based on assumed physcological syndrome ?

Yes! Ningemjudge hivyo kwa sababu a good leader anaanzia kwake binafsi, kwa familia yake na kisha jamii anayoiongoza. Mtu kama hawajawahi kuoa au kuolewa huwezi kuwa na ushahidi kuwa ana uwezo wa kuhandle mke au mme pamoja familia na kuiongoza vema.
Mke au mume kwa kawaida huwa ndio tension releaser kwa watu wote unless awe mke au mume mbaya. Kwa hiyo, kama mtu hajawahi kuoa au kuolewa hadi anafikia 40s, basi he/she might have missed something in life.

[/QUOTE]je huoni frustration za kazini ndo zilimfanya awe hivyo kama unavyodai?[/QUOTE]

Hayo ni matokeo ya kutokutofautisha masuala ya kazi na masuala binafsi.

[/QUOTE] Je ni wangapi wanaopata matatizo makazini, na hucheka badala ya ku-fight against their mistreatment? [/QUOTE]

Kuna mbinu nyingi za kupambana na matatizo na hata kucheka pia yaweza kuwa ni mbinu mojawapo ya kupambana na matatizo.

[/QUOTE]Heshima yako Mkuu na uache kunyanyapaa jinsia![/QUOTE]

Ahsante. Mimi si mnyanyaapaji. Kutoa mchango sio sehemu ya unyanyapaa.

NB:

Nadhani jambo la msingi ambalo angeweza kulitumia katika kujinadi ni dhamira ya kutuletea maendeleo sisi wakazi wa Rombo kwa kutueleza ni namna gani atatusaidia katika kukabiliana na changamoto zinazotukabili. Na sio Historia kwani kama ni historia akina Mramba ambao walitumia ujana wao katika kujenga nchi wasingetumia Uzee wao katika kuibomoa na kuifisadi nchi walioijenga.[/QUOTE]

Suala la kuwa na familia au kutokuwa na familia sio tija kaka, ngoja nikupe mfano Zitto Kabwe hana mke na anatekeleza majukumu yake vizuri polls zinasema ni most effective MP!, ukiachilia mbali viongozi maarufu waliowahi pata tawala dunia hii kuanzia maraisi mpk wafalme! kwa hiyo siafiki ati huwezi tawala kwa vile huna mume au huna mke! Ukiangalia vizuri nchi nyingi za magharibi zimepata kuwa na viongozi wazuri pia ambao walikuwa single!

Na kuhusu suala la LAPF, unataka kutuambia ati hamna UFISADI mle ndani? unajua Mzee Bura kwa nini mkataba wake haukuongezwa? na unajua gharama halisi za Millenium Tower wewe? uliza Bwana Utouh yaani CAG report (ngoja niitafute nitaimwaga humu ndani uone nchi yako inavyoliwa na wajanja through hoax projects)!? Kwa taarifa yako pale LAPF kuna network ya wizi ikiongozwa na bwana mmoja anaitwa Kida ambae ni mtu wa Finance akishirikiana na DG! Juzijuzi hapa huo mfuko ulitaka ulipewa stop order na CAG kwa kutaka ku-carry a project the fund cannot afford (yaani mfuko uko njiani kufilisika na CAG) makusanyo yanafanywa hela zinapelekwa kwenye account za nje (nina evidence)! matokeo yake wanakuja na hoax projects ku-cover ubadhirifu na ndo maana kila kitu kinakuwa over-prized! Na kama unabisha mi nitamwaga mchele huu kwenye forum! Na suala la kuanza kusema ati alikuwa kwenye uongozi kwa hiyo ni zao la huo uozo (yaani suala la mpangaji aliyetoroka na mihela, nathani hujui bureaucracy makazini na si suala lake nathani ni suala la mtu wa Mipango na Projects)! humtendei haki huyu mama! kama angeamua kunyamaza kama wengine angekuwa anakula kuku mpaka leo! Kwa hiyo be fair to her ametolewa kule kwa sababu wezi wameona ni kizingiti na kwa vile uongozi wote ulikuwa against yeye kwa maslahi yao binafsi ndo maana wanamuona ni mkorofi na ana jazba (alisimamia sheria na utaratibu kulinda fedha za members wa mfuko)! Ila haya ni matokeo ya system na vithibitisho vipo juu ya ninachoongea hapa! jibu nikupe evidence! maana wana JF wana haki ya kujua mbichi na mbovu! Kwa kukuhabarisha Iron Ladies huwa wana msimamo na huwa wanapata vizingiti vingi sana kwenye utendaji wao!

Kwa kukusaidia tu you need to tell people what you have accomplished so as to sell yourself! so kama anasema alichowahi kufanya sioni tatizo na nina uhakika hata wengineo wanaogombania hiko kiti watafanya hivyo! Kwa kukusaidia ingia hii link hapa http://madarakanyerere.blogspot.com/2010/02/notburga-maskini-to-challenge-basil.html ameeleza anachotaka kufanya kwenye jimbo analoliwania!
 
Huyo mama angekua na kitu cha maana kwa watu wa Sumbawanga si angegombea?

Haya haya ndiyo niliyopinga kule kwenye thread nyingine ya yule kijana wa Mtera vs Malecela

Mkuu,kuna mtua kaelezea anavyomjua huyu mama.wewe unamkejeli na na kushabikia umefanya nae kazi,je unamshabikia kwa maslahi yako binafsi au kwa lujali maslahi ya wananchi wa Rombo?
Nimetoa sababu kwa nini hakugombea Sumbawanga (you bolden it)! Na sasa ameamua kugombea Rombo! muda ukifika atajinadi kwa sera! maslahi ya Rombo unayoyaongelea wewe hapa ni yapi? kuwakilishwa na fisadi sio (asiyekubalika na wabunge wenzake na chama chake)? Mimi naeleza jinsi navyomfahamu na najua ni mtu wa haki! Na namfahamu pia Mramba hata kuliko wewe unavyomjua naweza kumwaga na uozo wake mwingine with concrete evidences! Unapokuwa makazini si kila mtu atakuwa rafiki yako (hili ni la kawaida). Na kwa suala la huyu mama mara nyingi watu walio na bifu na huyu mama ni wale walikutana na rungu lake (kama unabisha taja jina la mtu aliyekutana na rungu lake na nitakuambia sababu)! Ni hicho tu nasema, na sikubali kum-victimize mtu! kuna mtu Kalikanye anasema ati alimsaidia kutoa gari! Jiulize unaweza kumsaidia mtu kutoa gari bandarini bila ya kuwa mfanyakazi huko? na kama ni mfanyakazi huko, je si wajibu wako kutekeleza majukumu? hapa inaelekea huyu mtu alitaka malipo in return, otherwise alichofanya ni kitu cha kawaida na hivi ndo nchi yetu hii inaporudi nyuma kwa vile badala ya kuongelea points na kutoa concrete evidences tunasema hajaolewa, ametoa prado mpya (ikiwa mbovu angesema pia), mkorofi lakini hatuangalii what is the source, bali tunakuwa pschology doctors humu ndani! naombeni evidences ya huo ukorofi na mnihakikishie kwamba ni ukorofi wake kweli with evidences yaani ndani ya misingi ya kupindisha sheria na taratibu! (hakufanya kazi yake inavyompasa, au aliiba hela, au alifukuza/alisimamisha mtu bila ya kosa! na nje ya utaratibu! yaani nje ya sheria za kazi) ama sivyo ni victimization game inaendelea humu ndani!
 
Yes! Ningemjudge hivyo kwa sababu a good leader anaanzia kwake binafsi, kwa familia yake na kisha jamii anayoiongoza. Mtu kama hawajawahi kuoa au kuolewa huwezi kuwa na ushahidi kuwa ana uwezo wa kuhandle mke au mme pamoja familia na kuiongoza vema.
Mke au mume kwa kawaida huwa ndio tension releaser kwa watu wote unless awe mke au mume mbaya. Kwa hiyo, kama mtu hajawahi kuoa au kuolewa hadi anafikia 40s, basi he/she might have missed something in life.

Suala la kuwa na familia au kutokuwa na familia sio tija kaka, ngoja nikupe mfano Zitto Kabwe hana mke na anatekeleza majukumu yake vizuri polls zinasema ni most effective MP!, ukiachilia mbali viongozi maarufu waliowahi pata tawala dunia hii kuanzia maraisi mpk wafalme! kwa hiyo siafiki ati huwezi tawala kwa vile huna mume au huna mke! Ukiangalia vizuri nchi nyingi za magharibi zimepata kuwa na viongozi wazuri pia ambao walikuwa single!

Nimelazimika kunakiri maelezo yangu hapo juu ili uone nilichomaanisha.

Na kuhusu suala la LAPF, unataka kutuambia ati hamna UFISADI mle ndani? unajua Mzee Bura kwa nini mkataba wake haukuongezwa? na unajua gharama halisi za Millenium Tower wewe? uliza Bwana Utouh yaani CAG report (ngoja niitafute nitaimwaga humu ndani uone nchi yako inavyoliwa na wajanja through hoax projects)!? Kwa taarifa yako pale LAPF kuna network ya wizi ikiongozwa na bwana mmoja anaitwa Kida ambae ni mtu wa Finance akishirikiana na DG! Juzijuzi hapa huo mfuko ulitaka ulipewa stop order na CAG kwa kutaka ku-carry a project the fund cannot afford (yaani mfuko uko njiani kufilisika na CAG) makusanyo yanafanywa hela zinapelekwa kwenye account za nje (nina evidence)! matokeo yake wanakuja na hoax projects ku-cover ubadhirifu na ndo maana kila kitu kinakuwa over-prized! Na kama unabisha mi nitamwaga mchele huu kwenye forum! Na suala la kuanza kusema ati alikuwa kwenye uongozi kwa hiyo ni zao la huo uozo (yaani suala la mpangaji aliyetoroka na mihela, nathani hujui bureaucracy makazini na si suala lake nathani ni suala la mtu wa Mipango na Projects)! humtendei haki huyu mama! kama angeamua kunyamaza kama wengine angekuwa anakula kuku mpaka leo! Kwa hiyo be fair to her ametolewa kule kwa sababu wezi wameona ni kizingiti na kwa vile uongozi wote ulikuwa against yeye kwa maslahi yao binafsi ndo maana wanamuona ni mkorofi na ana jazba (alisimamia sheria na utaratibu kulinda fedha za members wa mfuko)! Ila haya ni matokeo ya system na vithibitisho vipo juu ya ninachoongea hapa! jibu nikupe evidence! maana wana JF wana haki ya kujua mbichi na mbovu! Kwa kukuhabarisha Iron Ladies huwa wana msimamo na huwa wanapata vizingiti vingi sana kwenye utendaji wao!

Soma tena maelezo yangu. Lakini kama una ushahidi wewe umwage tu ni haki yako. Nilichomaanisha na nitakachoendelea kumaanisha hivyo, ni kwamba suala la mapambano dhidi ya ufisadi wa LAPF halikuwa ajenda ya huyo kwa kipindi chote chote alichokuwa LAPF. Kwa tunaomfahamu na kufanya nae kazi kwa muda wote, hakuwahi kuwa kinara wa mapambano dhidi ya ufisadi na ndio maana nikasema kuwa asibebe ajenda ya anachodai kuwa ni ufisadi wa LAPF kama mtaji wake wa kisiasa.

Kama kuna ufisadi LAPF, nasisitiza kuwa yeye ni sehemu yake na hata alipokuwa wa Kanda ya Kusini, alichokuwa akihangaika nacho ni namna ya kula hela. Kwa nafasi ya mtu kama Meneja mwenye Mshahara mkubwa, haiingii akilini kutokuwepo kwenye Kituo cha kazi hadi siku 21 kwa kisingizio cha kukusanya michango. Huo pia ni ufisadi dhidi ya fedha za wanachama.

Kusema ukweli namshauri tena asijinadi kuwa ni mwadilifu KWANI HANA NA WALA HAJAWAHI KUWA MWADILIFU tangu nilipoanza kumfahamu.
 
Tuambie makusanyo yalikuwa vp? je kuna malalamiko yeyote ya ubadhirifu katika kipindi hicho? na naomba ueleze umma hiyo kanda ya kusini ilishika namba ngapi katika makusanyo ukilinganisha na kanda nyingine nchini? Kama kazi yake ni kufanya makusanyo, je makusanyo hufanywa ukiwa umekaa ofisini au ukizungukia wanachama? na wanachama wangapi wapya walijiunga na mfuko kipindi hicho katika kanda ya kusini? Na je kama alipewa posho, je posho yake ilizidi stahili yake? Naomba unijibu haya maswali na nitakuambia jinsi ya ubadhirifu unavyotendeka! Na pia ikumbukwe ni mimi niliyesema suala la ufisadi ndani ya LAPF (kwa vile najua linavyoenda)! na nitajibu hapa kukueleza syndicate ilivyo mle ndani maana unachanganya maharage na mchanga!

Kuna mtu amenitumia haya maelezo ya huyo mama soma attachment, halafu upinge lakini with concrete arguments siyo ati alikaa siku 21 nje ya ofisi wakati kanda ya kusini ni kubwa na alikuwa kikazi na matunda ya makusanyo yalionekana!
 
Attachments

Mraba should be ashamed of himself to even think of asking poor Tanzanians to allow him to lead them!
 
Back
Top Bottom