DOKEZO Mradi wa SGR Mwanza Ndio Basi tena

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Burundi, Rwanda hawawezi pitisha mizigo yao Kenya gharama ya kisafirisha itakuwa kubwa. Pia tayari SGR inajengwa toka Kigoma kwenda Burundi na project ilishasainiwa tayari.
 
Burundi, Rwanda hawawezi pitisha mizigo yao Kenya gharama ya kisafirisha itakuwa kubwa. Pia tayari SGR inajengwa toka Kigoma kwenda Burundi na project ilishasainiwa tayari.
Yes kwa sasa Dar Ina dominate cargo za Rwanda almost 70% lakini efficiency ya Mombasa port imeanza kuchukua soko la Dar, na Rwanda hawataki kutegemea port moja tuu kutokana na mambo ya siasa na kuna kutokuaminiana kiasi Kati Tanzania na Rwanda kutokana na issue za Eastern Congo, hiyo reli ya Mombasa to Uganda ikiisha tegemea mizigo zaidi ya Rwanda kuanza kupitia northern corridor, lakini at the end uhusiano mzuri ,cheaper and efficient route will win
 
Mkuu Rwanda ni kama Wilaya ya Kahama kwa idadi ya wananchi hivyo haiwezi kutuadhiri sana labda ungesema DRC na Uganda ambazo kisiasa tuko vizuri nao sana tu.
 
Mkuu Rwanda ni kama Wilaya ya Kahama kwa idadi ya wananchi hivyo haiwezi kutuadhiri sana labda ungesema DRC na Uganda ambazo kisiasa tuko vizuri nao sana tu.
Rwanda ina 15 million people, Kahama hata million moja haijafika, huna data na acha siasa mambo muhimu ya kiuchumi, acha math and economics ziamue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…