Mradi wa Chuo Cha Mafunzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa Chuo Cha Mafunzo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Yes or No, Oct 6, 2011.

 1. Y

  Yes or No Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali zenu wadau,

  Nikiwa mwenye kupenda kutoa mafunzo kwa watu wa kada mbalimbali nakusudia kuanzisha Training College katika kiwango cha ngazi ya chini kwa wahitimu std 7 - form six. Nina akiba ya about 10M na ninataraji kukisajili VETA na sio kufanya usanii. Nipo Dsm na pesa hiyo nimeiraise kupitia shughuli zangu nyingine ambazo nitaendelea kuzifanya mpaka mradi utakapoimarika zaidi.

  Najua mradi wa kama huo haulipi haraka ila nina passion nao na naamini ni sustainable ukisimamiwa vizuri.

  Naomba ushauri wa jinsi ya kuanza. Nipangishe jengo na kulipa sehemu ya akiba yangu au nitafute kiwanja hata kidogo pembeni ya mji na kuanza ujenzi hata wa chumba kimoja? Ujenzi najua una gharama na inategemea na eneo kwani kwa mradi huo umeme na maji ni vitu vya lazima. Lakini kwa upande mwingine, ukipanga nyumba kwa Tsh 500,000/= kwa mwezi ni sawa na 6M kwa mwaka kwa pango tu. Na kama mjuavyo mwaka wa kwanza unaweza usilipe sana.

  Je nifuate njia ipi?

  Natanguliza shukrani.
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  kaka kwanza nikupe hongera
  ningependa nikuulize je una cv gani?

  Lakini kabla ujanijibu ningependa kusema kwamba wapo watu na hasa humu jamvini waliwai kujitokaeza wanautalamu wa kuanda any kind of busness,nilichukua namba zao najalibu kuzitafuta ntakupatia.hawa wanaweza kukusaidia
  pia ngependa kushauri kwamba kwa mtaji huo ni lazima uanze kwa rent nyumba hilo halina ujanja.ikiwezekana jaribu kutafuta wataalamu wa mambo ya elimu au wazoefu wakusaidie
  je ni mafunzo gani utatoa?
  nakutakia mafanikio mema
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  wazo lako ni zuri.nakushauri utafute eneo ktk miji mipya e.g kigamboni,Mbezi mwisho,mbande ,Bunju etc.maeneo hayo unaweza kupata eneo kwa 5mil or less.baada ya hapo jenga Darasa na Admin office .fungua chuo.weka matangazo ya bei rahisi.next ingiza timu benki ujitambulishe,after 6 months wakishaona cashflow yako wanaweza kukupa pesa.vinginevyo VIZIA grants za JIKA na wengineo/
  i wish u all the best. nina mpango kama wako ,ila bado uko ktk drawing board
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu wazo zuri

  i advice you to prepare a sound business plan that outlines everything , hii ndiyo itakuwa mwongozo wako na pia ni rahisi kumuelewesha mdao yeyote akasaidia including funding sources
   
Loading...