Hali zenu wadau,
Nikiwa mwenye kupenda kutoa mafunzo kwa watu wa kada mbalimbali nakusudia kuanzisha Training College katika kiwango cha ngazi ya chini kwa wahitimu std 7 - form six. Nina akiba ya about 10M na ninataraji kukisajili VETA na sio kufanya usanii. Nipo Dsm na pesa hiyo nimeiraise kupitia shughuli zangu nyingine ambazo nitaendelea kuzifanya mpaka mradi utakapoimarika zaidi.
Najua mradi wa kama huo haulipi haraka ila nina passion nao na naamini ni sustainable ukisimamiwa vizuri.
Naomba ushauri wa jinsi ya kuanza. Nipangishe jengo na kulipa sehemu ya akiba yangu au nitafute kiwanja hata kidogo pembeni ya mji na kuanza ujenzi hata wa chumba kimoja? Ujenzi najua una gharama na inategemea na eneo kwani kwa mradi huo umeme na maji ni vitu vya lazima. Lakini kwa upande mwingine, ukipanga nyumba kwa Tsh 500,000/= kwa mwezi ni sawa na 6M kwa mwaka kwa pango tu. Na kama mjuavyo mwaka wa kwanza unaweza usilipe sana.
Je nifuate njia ipi?
Natanguliza shukrani.