Mr Nice

GIUSEPPE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
5,239
6,196
MR-nice-1.jpg

Hapa wakati akikamua enzi hizo.

Jamaa hali yake ni mbaya sana huko kenya
 
Sema kingine.Hiyo sio sura wala mwonekano wa mtu aliye kwenye hali mbaya! Kanawiri tu mbona?
hujauliza hali mbaya kivipi, ngoja nikusaidi, jamaa hali yake kipesa ni mbaya sana, hapo kwenye picha ni baada ya kupiga kinywaji cha kutosha na kushindwa kulipa kisha kunyanganywa vifaa vyake vya mawasiliano ( simu), hata jumba la kifahari alokuwa akikaa amefukuzwa kwa kushindwa lipa kodi kwa sasa anakaa kwenye nyumba ya chumba kimoja huko Athi river machakos kwenye estate za Sunset Boulevard
 
Last week alienda hapa... Kuna pub huitwa Savannah Delta.... Alienda hapo kukunywa. Kumbe jamaa hana hata pesa... Jamaa akakunywa machupa all night. Bill ikafika 1,700 Ksh. Jamaa anashindwa kulipa,ilibidi ma waiter wachukue phone yake... Hata saa hii sijui kama amerudishiwa phone
 
Yaani amekunywa ALL NIGHT bill ikaishia kuwa Ksh. 1,700 (sawa na Tsh. 34,000) tu? Huyo alikuwa anakunywa kwa kubeep...au chupa za huko ni cheap kiaina?
 
Yaani amekunywa ALL NIGHT bill ikaishia kuwa Ksh. 1,700 (sawa na Tsh. 34,000) tu? Huyo alikuwa anakunywa kwa kubeep...au chupa za huko ni cheap kiaina?
Akunywe kwa faster kwani ako na pesa?
 
Mtoa mada jamaa kajipumzisha beach unamzushia aisee angalia sana hii mamb

Truth is,Mr Nice is as broke as a Class Four girl in the Huruma Slums in a tattered dress. He doesn't drink HIS money. He has none...He lives off women and barmaids and cheap friends and handouts and favors and kickbacks. And drinks his whole life away...Putting everyone around him in trouble. Even himself.
The entire Athi River community is staring at a disaster waiting to happen. And if no one moves fast enough and saves this man from himself,we will not be having him around long enough to even do stories such as these.
 
Back
Top Bottom