kabon14
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,233
- 872
Ngoja akome Na kiherehere kilicho mkimbiza nchi za watuhujauliza hali mbaya kivipi, ngoja nikusaidi, jamaa hali yake kipesa ni mbaya sana, hapo kwenye picha ni baada ya kupiga kinywaji cha kutosha na kushindwa kulipa kisha kunyanganywa vifaa vyake vya mawasiliano ( simu), hata jumba la kifahari alokuwa akikaa amefukuzwa kwa kushindwa lipa kodi kwa sasa anakaa kwenye nyumba ya chumba kimoja huko Athi river machakos kwenye estate za Sunset Boulevard