Shy,Aende mahakamani ili haki itendeke anavyofanya hivyo anakosea sana yeye kama msanii anajidhalilisha
yapi tena yaliwakuta mkuu? kama nzito sana hiweke kapuni tu manake hii ya "zinduka" naona mchezo mchafu uliofanyikwa mpaka ujumbe umeshindwa kuwafikia walengwa.well.. sisi tumejifunza kwenye suala la kusaidia Red Cross!!!
Don't be mad.....
be glad?...