Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,462
- 21,334
Utata mkubwa umejitokeza ni nani aliekuwa na haki ya kutangaza tamasha la Zinduka ,..yaani kampeni ya kitaifa ya uzinduzi wa kukataa malaria.
Hali hiyo imejitokeza leo baada ya msanii Mr II kutangaza kwamba yeye ndie alieiomba kampuni husika ya Marekani kuja kuzindua no more malaria,...na badala yake ameshangaa kuona anaondolewa dk za mwisho,...hili swala ni la kisheria nimefungua lalamiko kule mMarekani na hapa natarajia kwenda mahakamani Jumatano kutoa malamiko yangu,...
Akishangaza waandishi wa habari Mr II aliigeukia kampuni ya sanaa iitwayo THT inayoongozwa na Bwana Ruge Mtahaba kwa kushiriki kenye tamasha hili.. Akijibu hoja hiyo Ruge alisema yeye hawezi kuongea chcochote, anamheshimu Mr II na amemwandikia aende mahakamani ili haki ikajulikane.
"Mimi ninafanya biashara na wasanii huwezi ukaniambia niache kutafuta wasanii wakati nahitaji hela, matatizo yake amalizane nao huko huko" Ruge alisema
Mr 2II inasemekana alikuwa anajiandaa kwenda kusimamisha tamasha hilo kabla hajasikia rais wa Tanzania ndie mhusika mkuu na kuamua kuwachia liendelee na lilipomalizika mambo ndio kama haya yameanza,...
My take:
Wasanii nadhani hili swala la kuhamasisha watanzania kuhusu jambo fulani muhimu kwa kila mtanzania liwe huru kwa kila mtu na isifanyike kama mtaji wa watu kutokea kimaisha...
Nimehuzunishwa sana maana wakati na siku ya uzinduzi kuna watu walisema hawa hamna kitu hapo ndio imetoka watu washakula hela basi, hakuna malaria wala nini,...sasa naanza kuamini haya mambo ni hatari jamani,...
Mr II kaeni chini mmalizane badala ya kuanza kuita waandishi na kuanza kuaibishana mbele ya kadamnasi,...na mimi kama mdau nakutakia fidia njema ya dollar 260,000 ulizozidai huko Marekani kwenye kampuni ya No More Malaria, usinisahau kwenye ufalme wako

VIDEO:
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=22f2_8d6F6M"]YouTube- Mr. II Sugu.(BONGO STAR LINK - www.djchoka.blogspot.com)[/ame]
Sugu akiongea na waandishi
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=W0lP3Sy2GSY"]YouTube- Ruge Mutahaba.mp4[/ame]
Ruge akijibu hoja
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=q2KlMlmLIPw"]YouTube- (GPLTZ.COM) Exclusive Interview with MR II[/ame]
Mr. II alipotembelea ofisi za Global Publishers