Mponda na Nkya hadi jumatano kushiney......!

Mponda na Nkya hadi jumatano kushiney......!

madaktari wanatumiwa na wanasiasa hilo liko wazi hakuna ubishi.
 
madaktari wanatumiwa na wanasiasa hilo liko wazi hakuna ubishi.
wanasema ukiwa mwizi basi kila mtu wewe utamhisi ni mwizi. Kwa kuwa wewe ni tabia yako kutumiwa kama condom basi unahisi kila mtu anatumiwa tu
 
Mawaziri waandike barua ya kujiuzulu na JK akubali mara moja.

hakuna sababu ya wao kuandika barua kwa hiari...ni rahisi tu, mkulu awaite magogoni kisha awape karatasi na kalamu waandike barua a kujiuzulu(mwalimu style) kisha warudi pale opposite ya IFM wakachukue virago vyao warudi matimila kutekeleza amri ya nguvu kazi.
 
ni wakati wa jk kuchukua mamuzi mangumu na sio kucheka 2.Mponda na Nkya sio wa kujiuzulu tu bali kuwashitaki kwan hawa ndo chanzo cha kupoteza ndugu ze2 wakati wa mgomo.inauna sn jamanii
 
serikali haiwezi kuongozwa kwa mashinikizo.madai ya madaktari yameeleweka sasa kwa kuwa na wao wamekuwa wanasiasa ndio maana wanatumika kisiasa
umeongea point sana nimeikubali lakini ebu kwa kuwa ww ni great thinker thibitisha madaktari wanatumika kisiasa
 
serikali haiwezi kuongozwa kwa mashinikizo.madai ya madaktari yameeleweka sasa kwa kuwa na wao wamekuwa wanasiasa ndio maana wanatumika kisiasa
tunaomba utujuze wanatumikishwa na nani ili tum-deal. otherwise unaweza kukaa kimya ukaonekana una busara zaidi kuliko kuongea kitu usichokijua
 
umeongea point sana nimeikubali lakini ebu kwa kuwa ww ni great thinker thibitisha madaktari wanatumika kisiasa

Atathibitisha kwa ushuzi! tena ule usio na kishindo fyuuuuuuuu, atawa safoketi watakaokuwa jirani nae!!!!!!!
 
Atathibitisha kwa ushuzi! tena ule usio na kishindo fyuuuuuuuu, atawa safoketi watakaokuwa jirani nae!!!!!!!
sitaki kuamini kwamba ameropoka, humu jf kuna mambo ya kusaidiana suala siasa kuingizwa kwenye kila kitu! Mm nashndwa kuelewa inakuaje? Je ww 'inauma' unatumika kisiasa?
 
Aibu sana kwa karne hii nchi kama Tanzania kuongozwa na kiwavi.
 
Back
Top Bottom